Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

I will be short Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu...
10 Reactions
37 Replies
4K Views
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha United Democratic Party (UDP) Saumu Rashidi ameendelea na kampeni zake mkoani Mara na kunadi sera za chama hicho, huku akiahidi kuwajaza fedha mifukoni...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Maongezi ya Rostam Aziz jana ni recorded. Mwanzoni tuliambiwa atakuwa Live kupitia UTV. Hatuwezi kumchagulia jinsi ya kufikisha kwa jamii ujumbe aliokusudia. Wapo makasuku humu wanamwandama...
1 Reactions
10 Replies
529 Views
Habari watanzania Bila kupoteza muda ningependa niende moja kwa moja kwenye mada ninayotaka kuongolea. Kila mmoja nadhani atakubaliana nami kwamba swala la NO REFORMS NO ELECTION limeibua hisia...
1 Reactions
2 Replies
347 Views
Kuwa msemaji wa serikali sio kukurupuka kila wakati kujibu chochote, hicho kitu kimeharibu kabisa taswira ya Grison Msigwa. Ni vyema Msigwa akaanza upya kujifunza mipaka ya kazi yake na kuwa...
21 Reactions
14 Replies
2K Views
Chadema tunalaani kwa nguvu zote tukio la uvamizi uliofanywa leo tarehe 05 Septemba 2025 katika ofisi za Jamii Forums, zilizopo Mikocheni, Jijini Dar es Salaam, na watu walioidai kuwa wanatoka...
14 Reactions
22 Replies
2K Views
Tumesema sana kuhusu watu kubebwa katika malori kama mifugo kupelekwa katika mikutano ya hadhara ya CCM. Hii yote wanataka kujaza watu na kuonekana mikutano imejaza watu. Kwanini kampeni...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Sabato Njema! Jana baada ya kuandika uzi fulani ambao niliomba Mtu fulani kutolewa Jela septemba kabla ya tarehe 7. Mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina gumu sana alinitokea. Yule mtu akaniambia...
26 Reactions
90 Replies
4K Views
https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na...
0 Reactions
1 Replies
478 Views
Akifika hatua Hii watu watapigwa mawe
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Hii ni kwa ajili ya sera nzuri za CCM ikiongozwa na Dr. Samia. Isipokuwa kuna watu wana mipango mibaya ya kufanya vandalism. Wanataka kuleta fujo siku ya Oktoba 29. Wanadhani ikitokea rioting kama...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
Mimi nilikuwa mfanyabiashara wa kwanza kuingia bungeni, wakati huo fomu za bunge za kugombea ubunge zinabox mbili awe mkulima au mfanyakazi mimi nilikrozi zote mbili nikaandika mfanyabiashara...
0 Reactions
4 Replies
475 Views
Sisi watu weusi, kiasili ni wezi ni vile mtu hajapata nafasi . Kupitia Asili yetu ya tamaa za Mali ,fedha na ngono . Basi wenzetu weupe wamekuwa waki -take Advantage hiyo kutulewesha , kutupa...
11 Reactions
18 Replies
866 Views
Siku hizi naambiwa ni Bora ukutane na jambazi akishakupora atakuacha salama kuliko ukutane na Polisi Ukishawapa tu hela, wanakufunga pingu, wanakupeleka kwako ukawape hela nyingi zaidi, na...
1 Reactions
11 Replies
497 Views
https://www.youtube.com/live/Tg4xJr-XGag?si=qkV33iiPHQZYvpad Na. Mwandishi wetu. Katika mjadala wa kitaifa uliofanyika kwenye Jukwaa la Wachambuzi, David Kafulila – Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Kuna kila dalili kuwa Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi ndio kiongozi anayesubiliwa kwa hamu kubwa jimboni biharamulo magharibi mwaka huu Maandalizi ni makubwa haijawahi kutokea hapo kabla magari...
1 Reactions
3 Replies
291 Views
Huo ndio ukweli walau akina ASAS walijulikana ni Waarabu lakini hawa wengine walikuwa wanaitwa Wamanga na walikuwa daraja la 3 sawa na Waafrika Wamanga walipambana sana kujikwamua na Hatimaye...
3 Reactions
13 Replies
677 Views
https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe...
3 Reactions
52 Replies
2K Views
Chama tawala malawi uwa wanaogopa Sana wananchi kuelimika wanaogopa mnoo! Viongozi walioko madarakani na waliostaafu nao pia waoga sana Chama chao kutoka madarakani Kwakuwa makaburi ni mengi...
53 Reactions
95 Replies
6K Views
Mwenye nyumba ya Malawi alikuwa katili sana na mbaya zaidi hata wale vijana wake wa shambani walikuwa hawamsikilizi msaidizi wa kazi za ndani! Kwakuw msaidizi wa kazi za ndani alikuwa kashalalwa...
75 Reactions
179 Replies
17K Views
Back
Top Bottom