Wapinzani hawana sifa za Kuongoza nchi. (comparison analysis)

Paul Makonda

Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
97
Reaction score
186
Siasa ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutofanikiwa katika lengo lake kuu. Kukosa falsafa kunasababisha Mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutokuwa na dira ya kuifuata na matokeo yake ni kufanya siasa inayo- base katika matukio na kukosoa mawazo na mipango ya wengine ama vyama vingine bila kuwa na WAZO kuu ambalo unalisimamia kama mwanasiasa ama Chama Cha Siasa. Kila mwanadamu kwa asili ya Uanadamu wake hujengwa na imani juu ya kitu fulani, uamini katika mlengwa fulani unaofahamika kwa jina la ITIKADI, Hivyo Chama Cha Siasa ni mkusanyiko wa kundi la watu ambao wanaamini katika ITIKADI moja, hivyo tukiitaja CCM directly tunataja UJAMAA kama ITIKADI kuu ambayo wanachama na Viongozi wa CCM wanaiamini na kuitetea kwa hoja na nguvu zote.

Utangulizi huo unamaana moja kuu katika thread hii niliyoipa jina "UKWELI MCHUNGU" kuwa CCM imejipambanua kwa itikadi yake na kuisimamia popote pale, wapinzani hawana msingi unaotokana na ITIKADI na SERA, wamejikita katika kufanya siasa za matukio na UBISHANI. Siasa isiyo endelevu kwani matukio hukoma kwa wakati fulani, hivyo kwa wananchi walio makini hawawezi kuamini katika Chama ambacho chenyewe hakina kitu ama falsafa inayoiamini. Wananchi wanahitaji viongozi wenye falsafa wanayoiamini.

Katiba ya nchi yetu iko wazi kuwa sera kuu ni Ujamaa na Kujitegemea, vyama vya siasa vilipaswa kujipambanua kisera kuona nani zaidi katika kufikia sera hiyo kuu. CCM inajimbanua vyema katika hili, kuwa na vyama vya siasa vinavyoamini nje ya itikadi hiyo ya Taifa ni kuvunja Katiba lakini msingi wake ni kutowajibika sawasawa kwani hili lilipaswa kuangaliwa kuanzia kwenye hatua ya usajili wa Vyama. Matokeo yake ni kuja kuwa Chama ambacho kitaongoza nchi nje ya mifumo yake ya kikatiba na hivyo kuzaa uongozi dhaifu, usiozingatia na hata kuvunja katiba ya nchi.

Maana ya kuwa na Vyama vya upinzani ni kutaka kuwapa wananchi alternative ya Uongozi na falsafa. sio KAZI ya upinzani kupinga kila kitu na sio kazi ya upinzani kusifia serikali, kimsingi kazi ya upinzani ni kutoa the best alternative solution to justify that opposition is the best alternative government in waiting. Lazima upinzani ujijenge kisera, kifalsafa na kiitikadi ambayo wananchi wataona kuwa ni njia ya kufikia Maendeleo na kuwajengea matumaini ya Mafanikio na Maisha Bora (kwani ndio paramount demand ya wananchi - MAISHA BORA)

Na nasema kama Upinzani ungekuwa makini basi Serikali na Chama Kilicho Madarakani nikimaanisha Chama Changu CCM kingekuwa makini zaidi, MWALIMU Nyerere aliwahi kusema maneno ambayo mpaka leo yamewekwa kwenye bango mbele ya Ukumbi wa Mikutano ya NEC (maarufu kama whitehouse) pale Makao makuu dodoma, maneno yale yanasema " Bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba, na Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM "

TANZANIA imekosa UPINZANI MAKINI, upinzani unaojitambua nini unataka na wafanye nini kufikia hicho wanachokitaka. Wachambuzi wa siasa wanapoangalia uimara wa upinzani moja ya kigezo ni kutathimini uwezo wa mawaziri (Viongozi) na watendaji wa Chama tawala na Serikalini yake ukilinganisha na mawaziri Vivuli,na viongozi wa Upinzani. Inatakiwa Shadow Cabinet ioneshe uwezo na matumaini kuliko cabinet. Upinzani uoneshe matumaini na uwezo kuliko CCM.

Wananchi wanaangalia alternative ambayo wapinzani wanakuja nayo, wanafanya comparison analysis ya viongozi hao yaani kwa mfano, kwenye baraza la mawaziri na mawaziri vivuli:
wananchi wanaangalia kambi ya upinzani bungeni kama mfano wa Uwezo wa Viongozi wa Upinzaniti, wanaangalia kati ya:

  • Lema V/s Chikawe kwenye Wizara ya mambo ya ndani, wanajiuliza hivi ni kweli LEMA anaweza kuwa best alternative ya CHIKAWE..,kweli..?
  • Selasini V/s Dr Mwinyi kwenye Wizara ya Ulinzi, wananchi wanawapima kwa uwezo wao.
  • SUGU v/s Dr Mukangara kwenye wizara ya habari, utamaduni na michezo, wananchi wanajiuliza hivi ni kweli SUGU anaweza kuwa bora mbele ya Dr Mukangara hata washawishike kukiondoa Chama kilichomsimamisha Dr Mukangara wakipe Chama kilichowaletea SUGU kama best alternative...,kweli..?
  • Msigwa v/s Lazaro Nyalandu kwenye wizara ya Maliasili.
Wenye v/s Bernard Kamilius Membe kwenye Wizara ya Mambo ya nje.,wananchi wanajiuliza hivi kweli MEMBE akisimama na WENJE..,Wenje anaweza kuonekana bora na kiongozi wa maana mbele ya MEMBE..? wananchi makini wanayaona haya na kuyapima na kisha kufanya uamuzi kupitia sanduku la KURA.

Kwa tathimini hiyo fupi, na hata kwa Uongozi wa juu wa Vyama vya upinzani., mathalani Chama kikuu cha Upinzani yaani Chadema.,ukifanya tathimini kwa Umakini juu ya Aina na Uwezo wa Viongozi wake dhidi ya wale wa Chama Makini CCM, wananchi wanaona matumaini na future bora ya nchi kupitia CCM.

Mathalani tazama mifano hii:
  • Wenyeviti; CHADEMA-MBOWE dhidi ya CCM-KIKWETE
  • Makamu M/kiti: CHADEMA-resigned ARFI dhidi ya CCM-MANGULA
  • Katibu Mkuu: CHADEMA - DR. SLAA dhidi ya CCM- KINANA
  • Naibu K/mkuu: CHADEMA - suspended ZITTO dhidi ya CCM- MWIGULU

Ukiangalia kwa Upande wa Sekretaieti ya CCM
  1. NAPE NNAUYE
  2. MAMA ASHA-ROSE MIGIRO
  3. MAMA ZAKHIA MEGHJI
  4. DR SEIF KHATIBU

Kwa upande wa CHADEMA.
  1. ANTHONY KOMU
  2. JOHN MNYIKA
  3. LEMA GODBLESS
  4. TUNDU LISSU
  5. LWAKATARE
  6. BENSONI KIGAILA
  7. JOHN MREMA

Wananchi makini wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanawapima viongozi wao kwa kutathimini uwezo, maarifa, na uzoefu. kwa tathimini hii ni Vipi watanzania wanaweza kuwapa Upinzani nchi hii., kwa tathmini hii ni wazi CCM itaendelea kuwa Chama bora na kitakachoendelea kutawala nchi hii kwa miaka mingine hamsini na dahari.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI..

Vivaa Vijana Vivaaa.

VIJANA KARIBUNI CCM na kazi iendelee...!!!
 
Hicho ndo umeenda kujifunza Dodoma? kimsingi huna hoja wala mantiki juu ya nini hasa ulitaka kuzungumzia.In short wewe si mtu sahihi wa kuwasemea wananchi,wewe ni kiongozi wa CCM isiyo na dira wala mwelekeo (chama cha KIJAMAA KISICHOKUWA NA MJAMAA HATA MMOJA NA WEWE UKIWEMO MCHUMIA TUMBO TU),Unekuwa mfuatiaji wa mambo ungekuwa unajua itikadi,falsafa na sera za vyama vingine ikiwemo CDM,Lakini tunajua kuwa si utamaduni wa wana CCM KUJISOMEA,HATA HUKO DODOMA MMEENDA KULEWA,KUWATAJILISHA MACHANGUDOA NA KUPIGA KURA TU.
 
Hayo ni mawazo yako....

Wananchi nao kila mtu ana mawazo yake...Ila kwa ujumla wetu ndio tunaamua nani anafaa kutuongoza !

Tusubiri 2015, sio mbali.....Vile vile uchaguzi wa kesho utaonyesha dalili wananchi wanamuamini nani, tuvute subira !
 
Simu uliyoiba ndo imekupa uwezo wa kuandika sana na uchambuzi wako mfu. Ila unakumbuka ulivyovuruga uchaguzi wa UDSM 2008 na kumfukuzisha Mwanafunzi Ondongo Odwar kwa kuwa tu ni Mganda? Najua hukuishia hapo maana ndo kazi ulyokuwa nayo ya kupeleka hela za wizi ili uwahonge vijana vyuoni wagombee vyeo vya kuwaongoza wanafunzi wenzao kupitia ccm. Hilo ulijui,Mfumo huo ndo unaoutetea hata hapa. Any way , ndoo ukoo wa panya
 
Dogo tangu umtukane Mh. LOWASSA, NAONA UNAJIONA BONGE LA MWELEWA, PAMOJA NA ELIMU YAKO HAUNA TOFAUTI NA MTOTO WA DARASA LA SABA, AKILI YAKO YOTE UMEELEKEZA KUITETEA CHAMA CHAKO CHA WAHUNI AMBAO UNAPATA MADARAKA KWA KUWATUKANA MAHASIBU WA MABOSI WAKO, TUNAJUA NGUVU ZOTE UMEELEKEZA KUMFURAHISHA KIKWETE BAADA YA KUTUMIKA KAMA TP YA CHOONI,ONA HATA AIBU KIDOGO UFANANE NA MTU ALIYESOMA, KWELI UTAJINYONGA PAMOJA NA WAHUNI WENZAKO WA CCM MAANA CHADEMA TUTAENDELEA KUWASAKAMA HADI MSAMBARATIKE, SHAME UPON MSOMI UNAMUA KUWA KASUKU KWA KUHONGWA KAMA MALALYA,

Siasa ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutofanikiwa katika lengo lake kuu. Kukosa falsafa kunasababisha Mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutokuwa na dira ya kuifuata na matokeo yake ni kufanya siasa inayo- base katika matukio na kukosoa mawazo na mipango ya wengine ama vyama vingine bila kuwa na WAZO kuu ambalo unalisimamia kama mwanasiasa ama Chama Cha Siasa. Kila mwanadamu kwa asili ya Uanadamu wake hujengwa na imani juu ya kitu fulani, uamini katika mlengwa fulani unaofahamika kwa jina la ITIKADI, Hivyo Chama Cha Siasa ni mkusanyiko wa kundi la watu ambao wanaamini katika ITIKADI moja, hivyo tukiitaja CCM directly tunataja UJAMAA kama ITIKADI kuu ambayo wanachama na Viongozi wa CCM wanaiamini na kuitetea kwa hoja na nguvu zote.

Utangulizi huo unamaana moja kuu katika thread hii niliyoipa jina "UKWELI MCHUNGU" kuwa CCM imejipambanua kwa itikadi yake na kuisimamia popote pale, wapinzani hawana msingi unaotokana na ITIKADI na SERA, wamejikita katika kufanya siasa za matukio na UBISHANI. Siasa isiyo endelevu kwani matukio hukoma kwa wakati fulani, hivyo kwa wananchi walio makini hawawezi kuamini katika Chama ambacho chenyewe hakina kitu ama falsafa inayoiamini. Wananchi wanahitaji viongozi wenye falsafa wanayoiamini.

Katiba ya nchi yetu iko wazi kuwa sera kuu ni Ujamaa na Kujitegemea, vyama vya siasa vilipaswa kujipambanua kisera kuona nani zaidi katika kufikia sera hiyo kuu. CCM inajimbanua vyema katika hili, kuwa na vyama vya siasa vinavyoamini nje ya itikadi hiyo ya Taifa ni kuvunja Katiba lakini msingi wake ni kutowajibika sawasawa kwani hili lilipaswa kuangaliwa kuanzia kwenye hatua ya usajili wa Vyama. Matokeo yake ni kuja kuwa Chama ambacho kitaongoza nchi nje ya mifumo yake ya kikatiba na hivyo kuzaa uongozi dhaifu, usiozingatia na hata kuvunja katiba ya nchi.

Maana ya kuwa na Vyama vya upinzani ni kutaka kuwapa wananchi alternative ya Uongozi na falsafa. sio KAZI ya upinzani kupinga kila kitu na sio kazi ya upinzani kusifia serikali, kimsingi kazi ya upinzani ni kutoa the best alternative solution to justify that opposition is the best alternative government in waiting. Lazima upinzani ujijenge kisera, kifalsafa na kiitikadi ambayo wananchi wataona kuwa ni njia ya kufikia Maendeleo na kuwajengea matumaini ya Mafanikio na Maisha Bora (kwani ndio paramount demand ya wananchi - MAISHA BORA)

Na nasema kama Upinzani ungekuwa makini basi Serikali na Chama Kilicho Madarakani nikimaanisha Chama Changu CCM kingekuwa makini zaidi, MWALIMU Nyerere aliwahi kusema maneno ambayo mpaka leo yamewekwa kwenye bango mbele ya Ukumbi wa Mikutano ya NEC (maarufu kama whitehouse) pale Makao makuu dodoma, maneno yale yanasema " Bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba, na Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM "

TANZANIA imekosa UPINZANI MAKINI, upinzani unaojitambua nini unataka na wafanye nini kufikia hicho wanachokitaka. Wachambuzi wa siasa wanapoangalia uimara wa upinzani moja ya kigezo ni kutathimini uwezo wa mawaziri (Viongozi) na watendaji wa Chama tawala na Serikalini yake ukilinganisha na mawaziri Vivuli,na viongozi wa Upinzani. Inatakiwa Shadow Cabinet ioneshe uwezo na matumaini kuliko cabinet. Upinzani uoneshe matumaini na uwezo kuliko CCM.

Wananchi wanaangalia alternative ambayo wapinzani wanakuja nayo, wanafanya comparison analysis ya viongozi hao yaani kwa mfano, kwenye baraza la mawaziri na mawaziri vivuli:
wananchi wanaangalia kambi ya upinzani bungeni kama mfano wa Uwezo wa Viongozi wa Upinzaniti, wanaangalia kati ya:

  • Lema V/s Chikawe kwenye Wizara ya mambo ya ndani, wanajiuliza hivi ni kweli LEMA anaweza kuwa best alternative ya CHIKAWE..,kweli..?
  • Selasini V/s Dr Mwinyi kwenye Wizara ya Ulinzi, wananchi wanawapima kwa uwezo wao.
  • SUGU v/s Dr Mukangara kwenye wizara ya habari, utamaduni na michezo, wananchi wanajiuliza hivi ni kweli SUGU anaweza kuwa bora mbele ya Dr Mukangara hata washawishike kukiondoa Chama kilichomsimamisha Dr Mukangara wakipe Chama kilichowaletea SUGU kama best alternative...,kweli..?
  • Msigwa v/s Lazaro Nyalandu kwenye wizara ya Maliasili.
Wenye v/s Bernard Kamilius Membe kwenye Wizara ya Mambo ya nje.,wananchi wanajiuliza hivi kweli MEMBE akisimama na WENJE..,Wenje anaweza kuonekana bora na kiongozi wa maana mbele ya MEMBE..? wananchi makini wanayaona haya na kuyapima na kisha kufanya uamuzi kupitia sanduku la KURA.

Kwa tathimini hiyo fupi, na hata kwa Uongozi wa juu wa Vyama vya upinzani., mathalani Chama kikuu cha Upinzani yaani Chadema.,ukifanya tathimini kwa Umakini juu ya Aina na Uwezo wa Viongozi wake dhidi ya wale wa Chama Makini CCM, wananchi wanaona matumaini na future bora ya nchi kupitia CCM.

Mathalani tazama mifano hii:
  • Wenyeviti; CHADEMA-MBOWE dhidi ya CCM-KIKWETE
  • Makamu M/kiti: CHADEMA-resigned ARFI dhidi ya CCM-MANGULA
  • Katibu Mkuu: CHADEMA - DR. SLAA dhidi ya CCM- KINANA
  • Naibu K/mkuu: CHADEMA - suspended ZITTO dhidi ya CCM- MWIGULU

Ukiangalia kwa Upande wa Sekretaieti ya CCM
  1. NAPE NNAUYE
  2. MAMA ASHA-ROSE MIGIRO
  3. MAMA ZAKHIA MEGHJI
  4. DR SEIF KHATIBU

Kwa upande wa CHADEMA.
  1. ANTHONY KOMU
  2. JOHN MNYIKA
  3. LEMA GODBLESS
  4. TUNDU LISSU
  5. LWAKATARE
  6. BENSONI KIGAILA
  7. JOHN MREMA

Wananchi makini wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanawapima viongozi wao kwa kutathimini uwezo, maarifa, na uzoefu. kwa tathimini hii ni Vipi watanzania wanaweza kuwapa Upinzani nchi hii., kwa tathmini hii ni wazi CCM itaendelea kuwa Chama bora na kitakachoendelea kutawala nchi hii kwa miaka mingine hamsini na dahari.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI..

Vivaa Vijana Vivaaa.

VIJANA KARIBUNI CCM na kazi iendelee...!!!
 
PM,

Hebu fikiria CCM hii ya Jakaya, Mgeja, Mwigulu, Makamba, Makonda, Nape, Mangula, Lowasa, Wassira, Sitta, AshaRose, Meghji, Vuai, Ngeleja,..., etc.,

Bila upinzani wa akina Mbowe, Dr Slaa, Mnyika, Zitto, Msigwa, Mtikila, Lipumba, Mtatiro, Mbatia, Mrema, JamiiForums, ...,etc.

TANZANIA hii ingekuwaje leo
 
Serikali ya CCM inamlipa Mhudumu wa Ofisi Tshs.180,000/= kwa Mwezi na Mbunge Tshs.11,000,000/= kwa Mwezi.Huoni kwamba CCM imepoteza uhalali wa kuongoza Watanzania?
 
Mkuu WildCard, huyu bwana yuko Dodoma hivi sasa kwenye bunge maalumu la kupitisha katiba mpya.
Mbona hajiulizi hili wazo la Katiba lilianzishwa na nani na mwenyekiti wake akalichukua moja kwa moja bila hata kushauriana na chama chake na kulitekeleza!
Wangelikuwa ni chama tawala kilicho imara si angala wangelishauriana badala ya kulichukua wazo kama lilivyo!?
 
Dogo Paul Makonda nje ya mada kidogo bu tujuze ni kweli ulikwapua simu mjengoni.

Last edited by a moderator:

Wananchi makini wa Tanzania tumeona kuwa kweli ccm wana uzoefu. Uzoefu huo ni ufisadi, utawala mbovu na kutojali kabisa maendeleo a sisi watu wa kawaida.

Ni kwa sababu hiyo basi, kutokana na mfumo huu wa demokrasia, tutachagua, kama haki yetu ya kimsingi, kuchagua chama mbadala ambacho nacho tutakipima katika muda wake wa kuongoza. Hiyo ndiyo demokrasia inayochangia maendeleo.

Kung'ang'ania chama kimoja tu kwa madai kwamba kina uzoefu ni kudumaza akili zetu na hatimaye maendeleo yetu. Uwepo wa vyama tofauti katika nyakati tofauti huchangia sana katika kuleta maendeleo, kwani kila chama kitajitahidi kufanya vizuri kadiri ya uwezo wake.
 
Ni kweli hukukosea ulivyosema "UKWELI NI MCHUNGU", Kwani ukweli ni kwamba CCM ni wezi, kwanzia kura mpaka mali za umma.
Mshindwe na Mlegee kabisa..
 
Mimi mara zote huwa sipati shida pale napoona mtumwa akimsifu bwana wake kwamba ni mzuri na ana moyo wa huruma,simply kwa kuwa japo yeye ni mtumwa ila utumwa wake ni wa kuolewa,na kwamba huruma na upendo anaooneshwa ni kwa kutotumikisha kwenye kazi kama watumwa wengine!

Ni mtu mwenye mtindio wa ubongo tu ambaye atasindwa kutambua usanii wa serikali ya Chama Cha Majangili CCM. Serikali ilifanya wanachama wake misukule,serikali iliyodharau wapiga kura wake kwa kiwango cha kutosha, serikali ya kindugu ambayo babu akiwa mtawala basi hadi mfagia uwani wa nyumbani kwake naye ni lazima aukwae uongozi!
 
Hujaonyesha ANALYSIS uliyotaka kutuonyesha sisi wasomaji ila umetaja majina tu, Jina v/s Jina sijui kama ndiyo ulimaanisha ni analysis (eg. Makonda vs Bujigile) hapo kuna analysis? Hebu nenda ukae uandike vizuri tuone unachotaka kutueleza.

UJAMAA NA KUJITEGEMEA ndani ya ccm? sijui labda kujitegemea kwa juhudi binafsi (KUPIGA MA-Deal) za kila kiongozi ndani ya ccm lakini siyo Ujamaa.

Makonda kumbuka ccm inategemea sana Polisi (Kikwete, 2012), tofauti na vyama vya upinzani angalia mf. Jimbo la Kalenga kesho 16/03/2014.
 
Ni kosa kubwa sana kuifananisha kampuni ya wachaga na ccm. Hawa ungepaswa uwafananishe na kampuni kama mohamed enterprises, au ipp ya mengi au TANAPA sio mbaya
 
CCM ya Zambia, CCM ya Malawi, CCM ya Senegal,KANU ya Kenya,CCM ya Mohamari Gadafi,CCM ya Tunisia,CCM ya Mabutu Sese seko, CCM ya Laurent Ghabo(Ivory coast) na CCM ya Housein Mubarack(Egypti) hivyo vyama vyote vilikuwa na wapambe kama wewe na watoka povu kibao kama wewe…na mbaya zaidi hao marais wa nchi hizo walikuwa na power mfano wa Mungu lakini mwisho wa siku wote wamesambaratika madarakani na wengine wamejifia kwa kihoro.

Achana na kitu kinachoitwa nguvu ya umma kwani mabadiliko ni kama nature hayakwepeki hata ufanye nini.
Hata hao Chadema uliowakusudia kwenye hiki ki thread chako na wao wakija kuiongoza nchi hii na wao lazima
oneday watang'oka madarakani tu. Kwahiyo mkuu wangu wewe piga domoweeeee lakini mwisho wa siku CCM ya
Tanzania nayo itakuja kuwa historia tu…Hutaki Unaacha
 
Mkuu hao unaowasifia wamekamilika CCM wamefanya nini?, Reli inafanya kazi?, Maji yanapatakana kirahisi?, Tanesco iko Imara?, Viwanda vinafanya kazi?, Wanafunzi mbona wanapata zero?, Mbona deni la nchi linaongezeka hadi trioni 20?, mbona kila mwaka watanzania wanapelekewa chakula cha njaa?, mbona hospitali wagonjwa wanalala watatu kwa kitanda?. au huo ndio ukamilifu wa CCM!. Jibu hayo maswali kwanza then tuhamie kwenye ufisadi
 
Hujaonyesha ANALYSIS uliyotaka kutuonyesha sisi wasomaji ila umetaja majina tu, Jina v/s Jina sijui kama ndiyo ulimaanisha ni analysis (eg. Makonda vs Bujigile) hapo kuna analysis? Hebu nenda ukae uandike vizuri tuone unachotaka kutueleza.
Ni kiwango gani cha uelewa huwaza mtu!?
 
Mkuu WildCard, huyu bwana yuko Dodoma hivi sasa kwenye bunge maalumu la kupitisha katiba mpya.
Mbona hajiulizi hili wazo la Katiba lilianzishwa na nani na mwenyekiti wake akalichukua moja kwa moja bila hata kushauriana na chama chake na kulitekeleza!
Wangelikuwa ni chama tawala kilicho imara si angala wangelishauriana badala ya kulichukua wazo kama lilivyo!?
omujubi,

Huyu kijana Makonda angewekwa kati ya wahuni wale ambao Mwalimu aliwakemea miaka ile ya tisini sema tu alikuwa hajazaliwa. Ni juzi tu katoka kumbananga Lowasa kwamba hafai kuwa KIONGOZI wa nchi hii. Kwani Lowasa ni mpinzani? Baba wa watu hajawahi kufikiria hata kuwa mpinzani.
 
Back
Top Bottom