Waziri wa Ujenzi na mgombea ubunge wa Jimbo la Mkuranga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega amesema kuwa Watanzania wanapaswa kumchagua Samia Suluhu Hassan kama kiongozi wao wa...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme ameahidi kuhakikisha wanapita kwenye daraja la Nyerere (maarufu kama Daraja la Kigamboni) hawalipi fedha yoyote...
Mgombea Ubunge Jimbo la Segerea Dar es Salaam kupitia CHAUMMA Ndugu Agnesta Kaiza amsifia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Mamilioni kwa ajili ya kuwakopesha Wanawake na Vijana wote Nchini...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumnadi na kumuombea kura ya ndiyo Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea...
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe
________
Usiku wa kuamkia leo, tarehe 5/9/2025 watu “wanaojulikana” wamechoma moto gari la Mchungaji...
Kuna ‘uvamizi’ usio rafiki uliofanyika muda sio mrefu katika ofisi za JamiiForums, Mikocheni jijini Dar wakinitafuta mimi
..
Nalaani vitendo kama hivi, ila umma utaujua ukweli hivi karibuni...
Hivi jamani, kila siku CCM mnadhani hii nchi ni mali yenu? Kila mtu akisema kitu against serikali, mara ohh kufungia, mara ohh kuzima.! Hivi mnaona Watanzania wote ni ma-idiot wa kufuata tu...
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye, amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Manyara kutobweteka kuwa wagombea wao watashinda bila kufanya kampeni na kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu...
Kushikiliwa Kwa waandishi wa habari wa JAMBO TV na Manara TV Jijini Arusha Arusha*
Nimepata taarifa usiku huu za kushikiliwa Kwa Mwandishi wa habari Baraka Lucas wa Jambo TV Arusha na...
Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM.
Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala...
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.
Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura...
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia
WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI...
CHAUMMA walidhani ma press conference ya kila siku kuwa ndo siasa zenyewe.
Sahivi wanalia kilio na kusaga meno, Hadi kwenye mitandao ya kijamii Hawa post chochote kinachousu kampeini.
John Mrema...
Na ndio maana haaminiki kabisa kwa yeyote kwa sasa na kila anachoongea kina puuzwa na wote, kwasababu hakina mashiko na ni wazi ni uzushi mtupu, na ni upotoshaji wa wazi kabisa anaufanya tena usio...
Na wenzetu tuwasombee watu wa kwenda kwenye Mikutano yao. It isnt fair kuwaacha ukiwa. Kama ambavyo tunajaza kwetu na Chauma nao wajaziwe watu. Tusiwanyanyapae wametusaidia sana.
https://www.youtube.com/watch?v=vjOkard2ik0
Mwanasiasa mkongwe Zitto Z. Kabwe ameanza mchakato wa kampeni za kuwania Ubunge, leo Jumamosi tarehe 6 mwezi wa 9, 2025 anazindua kampeni Mkoani Kigoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.