Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Almas, ameahidi kuwa iwapo chama chake kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi, serikali...
2 Reactions
4 Replies
325 Views
Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, akiwa ameambatana na Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, walipanda baiskeli za wajumbe baada ya...
3 Reactions
10 Replies
529 Views
Bwana huyu nimekuwa nikimfuatiliia sana hotuba zake hasa wakati wa kampeni ya No Reforms no Election. Alikuwa akichambua vitu mpaka nasema yes this is the leader we want in our country na si Hawa...
4 Reactions
4 Replies
362 Views
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Hassan Almas, amesema ndani ya siku thelethini baada ya kupewa ridhaa ya kuwa Rais...
1 Reactions
5 Replies
330 Views
TAARIFA KWA UMMA WAFUASI WA CHADEMA WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MBEYA. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewakata wafuasi sita (6) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Rungwe...
1 Reactions
8 Replies
629 Views
Chadema ndiyo chama peke cha upinzani!
2 Reactions
2 Replies
324 Views
Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza, Jiji la Mwanza...
1 Reactions
1 Replies
227 Views
Nimeyachukua maneno niliyoyatumia kwenye kichwa cha habari cha makala haya kutoka kwenye moja ya vipindi vya YouTube vinavyozalishwa na mchumi na mchambuzi wa Kiingereza, Gary Stevenson...
1 Reactions
1 Replies
424 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Bw. Isihaka Mchinjita, amekamatwa na Jeshi la Polisi, akitokea kwenye Uzinduzi wa Kampeni ambayo imezinduliwa leo katika Viwanja vya Shule ya Msingi...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi na...
1 Reactions
5 Replies
309 Views
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba leo Jumatatu ya Septemba 08, 2025 amepokelewa kwa shangwe na wananchi wa jimbo hilo baada ya kuwasili katika uzinduzi wa kampeni za udiwani...
1 Reactions
10 Replies
601 Views
Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abuu Jumaa amesema, mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu...
3 Reactions
12 Replies
546 Views
Mmesahau wajibu wenu wa kusifu Wagombea wetu CCM kipindi cha Uchaguzi kwa asilimia (%). Mnakwama wapi?
4 Reactions
4 Replies
495 Views
Watawala wanajua fika kwamba Watanzania ni watu wa mdomoni sana ila sio vitendo na Viburi ikiwemo kufungia makanisa na hata kumuweka Lisu ndani ni kwa sababu kuu 1 tu. Wanajua Wabongo...
11 Reactions
32 Replies
931 Views
Wanasiasa wazalendo tumewajua uchaguzi huu! Wale wote wanaofanya vitu bila kijinufaisha wenyewe kama wakina Sugu, Popepole, Dr Gwajima, Lema, Lissu, Heche, Warioba na wengine wengi ambao...
2 Reactions
2 Replies
246 Views
Maandalizi ya Uzinduzi wa Kampeni za Ubunge Kigamboni za Mwanajukwaa mkongwe Yericko Nyerere yamepamba moto tayari ameachia wimbo wa Kigamboni na sera zake, Wimbo👇
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Imefanikiwa kutoa elimu na Watanzania wote sasa wanajua ukweli kwamba chaguzi za Tanzania kwa sasa sio za huru na haki. Na wanajua mpaka sheria ziboreshwe hakuna chaguzi za huru na haki. Sasa...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Sasa kweli eti hii nayo ni sera ya chama kinachotaka kuchukua dola. Hivi wapo serious kweli hawa watu,walijiandaa kweli na huu uchaguzi au walikurupushwa tu? ---- Chama Cha Kijamii (CCK)...
2 Reactions
12 Replies
822 Views
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Mvumi takriban 40 wamepata ajali wakiwa wamepakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa mgombea Urais kupitia chama hicho, Samia Suluhu Hassan...
33 Reactions
264 Replies
14K Views
Akihutubia mkutano wa kampeni, Rais Samia Suluhu Hassan alieleza hali ya deni la Serikali, akisema kuwa hadi kufikia mwaka 2024, deni la Serikali zote duniani lilifikia asilimia 93 ya Pato la...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom