Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,742
- 32,349
Na wenzetu tuwasombee watu wa kwenda kwenye Mikutano yao. It isnt fair kuwaacha ukiwa. Kama ambavyo tunajaza kwetu na Chauma nao wajaziwe watu. Tusiwanyanyapae wametusaidia sana.
Haha hahahNa wenzetu tuwasombee watu wa kwenda kwenye Mikutano yao. It isnt fair kuwaacha ukiwa. Kama ambavyo tunajaza kwetu na Chauma nao wajaziwe watu. Tusiwanyanyapae wametusaidia sana.
CHAUMMA na ACT tumewapa Tsh 1B watumie vizuri hiyo pesa tuliyowapaNa wenzetu tuwasombee watu wa kwenda kwenye Mikutano yao. It isnt fair kuwaacha ukiwa. Kama ambavyo tunajaza kwetu na Chauma nao wajaziwe watu. Tusiwanyanyapae wametusaidia sana.
CHAUMMA na ACT tumewapa Tsh 1B watumie vizuri hiyo pesa tuliyowapa
Mtapiga kura wenyewe OctoberNa wenzetu tuwasombee watu wa kwenda kwenye Mikutano yao. It isnt fair kuwaacha ukiwa. Kama ambavyo tunajaza kwetu na Chauma nao wajaziwe watu. Tusiwanyanyapae wametusaidia sana.
Sawa mjumbeNa wenzetu tuwasombee watu wa kwenda kwenye Mikutano yao. It isnt fair kuwaacha ukiwa. Kama ambavyo tunajaza kwetu na Chauma nao wajaziwe watu. Tusiwanyanyapae wametusaidia sana.
Mtapiga kura wenyewe October
No Reforms No Election
Haina shida, ila ipo siku nasema tena hapa ipo siku wale wa nanjilinji watakapochoka kitaeleweka tu.Kwa huu mfumo tuliounganisha wala watu hawahitaji kupiga kura. Kura zinajipiga automatically tu. Teknolojia.
Watakuwa wanaamishwa kituo kimoja hadi kingine ...wamepangwa watu kupiga kura hata 8 mtu mmoja vituo tofauti na kila mmoja atatumbukiza kura zaidi ya 10 kila eneo analo p8ga kuraSiku ya kupiga kura nani atawasomba sasa, na watampigia nani?
Watakuwa wanaamishwa kituo kimoja hadi kingine ...wamepangwa watu kupiga kura hata 8 mtu mmoja vituo tofauti na kila mmoja atatumbukiza kura zaidi ya 10 kila eneo analo p8ga kura
Kwanini wafanye yote hayo wakati tume yao, polisi wao, majeshi yao na nchi yao.Watakuwa wanaamishwa kituo kimoja hadi kingine ...wamepangwa watu kupiga kura hata 8 mtu mmoja vituo tofauti na kila mmoja atatumbukiza kura zaidi ya 10 kila eneo analo p8ga kura
Jamii ya kimataifa ione kuwa watanzania wameshiriki uchaguzi ...kwani wewe ujui kuwa samia na wahuni wenzie wanataka kuiongopea duniaKwanini wafanye yote hayo wakati tume yao, polisi wao, majeshi yao na nchi yao.
Wanashindwa nini kutangaza tu kwasababu mshindi anajulikana.
Waliishashinda hata kabla ya uchaguzi.
Dunia ganibisiyofahamu yanayoendelea kwasasa.Jamii ya kimataifa ione kuwa watanzania wameshiriki uchaguzi ...kwani wewe ujui kuwa samia na wahuni wenzie wanataka kuiongopea dunia