Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imetajwa leo, Jumatatu Septemba 08.2025 kwa mara ya kwanza kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania...
Wadau MUUNGANO wetu ni Wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar. Matokeo ya MUUNGANO huu yakaizaa Nchi ya TANZANIA. Jambo la AJABU NCHI ya ZANZIBAR imeendelea kuwepo licha ya kuungana na Tanganyika lakini...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi Johnston Mtasingwa, aliomba kura kwa wananchi mbele ya mgombea mwenza wa Urais wa chama hicho, Dkt. Emmanuel...
Tukiwa tunazielekea siku sitini (60) kabla ya tarehe 27 Octoba - inayotajwa kuwa ya uchaguzi; bado huku mitaani na vijijini watu hawaujadili uchaguzi; ikimaanisha kwa jicho la uchambuzi kwamba...
Katika kampeni zinazoendelea hivi leo mkoa wa Kigoma, Chama cha ACT wazalendo kikiwa katika ufunguzi wa kampeni hizo limeibuka wimbi la wananchi wakimtuhumu Serukamba kuwa ni anatoa rushwa ili...
Taasisi ya Jamii Mpya Tanzania imetangaza mpango kabambe wa kitaifa wa kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ikilenga zaidi vijana na wanawake, huku ikipinga vikali...
Monicka Ndungulu, mkazi wa Kata ya Mji Mwema katika Halmashauri ya Mji wa Njombe na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema kwamba licha ya chama chake kutojihusisha na...
Vyombo vya habari na waandishi wa habari wameshauriwa kuepuka kutumia lugha za chuki, uchochezi au zinazoweza kugawa jamii kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi katika kipindi hiki cha kuelekea...
Mgombea wa Kiti cha Urais Zanzibar kupitia chama AAFP, Said Soud alisema hayo tarehe 3/09/2025 wakati anamjibu Mgombea wa Urais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha ACT wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema Chama hicho hakitokubali kuona Mwenyekiti wao Tundu Lissu anahukumiwa kwa kesi za kutengenezwa.
Heche...
Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Rugemeleza Nshala amesema Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amewasilisha mapingamizi mawili Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ikiwemo kupinga mwenendo...
Wadau hii nchi ipo hapa ilipo kwa sababu viongozi wa kisiasa wengi ni vilaza. Mtu kama Shilole anakuwa mbunge kwa akili gani?
Mtu kama baba Levo akiwa mbunge anaweza kuongoza watu lakini sio...
Huyu jamaa ni kama mzuka
Mkiamka mnakuta picha imechorwa inatafsiri mwenendo wa nchi
Jana usiku allikuwa mahakamani kama kazi, walinzi wanaamka wanakuta mchoro...
Naona huu ujumbe leo...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Asha Rose Migiro akizungumza na viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Afisi Kuu za CCM, Kisiwandui, Unguja visiwani Zanzibar...
Wakazi wa mkoa wa Songwe wameshukuru na kupongeza juhudi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwakumbuka makatibu wake kwa kuwakabidhi pikipiki mpya, maarufu kama Pikipiki za Mama.
Wakazi hao...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Pareso, ambaye pia aligombea Ubunge wa Jimbo la Karatu lakini hakufanikiwa kupata kura za kutosha katika uchaguzi wa ndani uliompa ushindi...
Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Felius Kinimi, wametoka kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa siku tatu kwa madai ya kufanya mkusanyiko...
Mgombea urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, ameahidi kununua helikopta kwa kila wilaya nchini zitakazotumika kusaidia shughuli za uokozi kwa Watanzania watakaokumbwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.