Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mpende mchukie The guy is truly gifted. Huyu jamaa sio wa sayari hii. Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu. Akiongea. Hata uwe kilaza wa...
71 Reactions
118 Replies
5K Views
Anonymous
1. Kuna mazingira ya Rushwa ya ngono kwa Watumishi wao, wakati ambao watumishi wakidai stahiki zao. 2. Kuchepusha dawa za Serikali kupeleka kwenye maduka yao ya dawa, na hivyo kusababisha uhaba...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Septemba 8, 2025 anafikishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili...
2 Reactions
4 Replies
495 Views
Haya sasa Sheikh Said Fondo awavaa vikali viongozi mafisadi na wasioongoza vyema nchi basi shimo la jehanamu linawsubiri. Ujumbe uwafikie jamani kwa wale viongozi wote wanaongoza tofauti na kwa...
3 Reactions
13 Replies
604 Views
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo John Heche ameonekana na viongozi wengine wa chama hicho wakiomba nafasi ya kuonana na jaji mkuu ili waweze kuzungumza nae, ombi hilo...
0 Reactions
2 Replies
433 Views
Kwanini bei ya petrol tz iwe juu ukilinganisha na Cuba au hata Malawi petrol yao ipo chini 1300 na ushee bongo lita moja buku tatu. Malawi anapata petrol kupitia kwetu kwanini bei iwe tofauti...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga limekamata viongozi wa Chadema waliokuwa kwenye Kaburi la Bob Nyanga Makami wakifanya usafi huko Ukenyenge. Walioshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo katika...
2 Reactions
11 Replies
559 Views
Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa Kilimanjaro kumpa kura za kishindo mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ifikapo...
0 Reactions
2 Replies
273 Views
Wakili Massawe: Huwezi kuwa na uhuru kamili kama vyombo vya habari havipati uhuru huo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe amesema...
1 Reactions
2 Replies
269 Views
Polepole: Mtu fulani ofisi binafsi ya rais anamkosea sana mama Samia, anamchomekea maneno fulani ya uongo na kuchukiza kwa watu.
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma inatarajiwa kutoa hukumu ya Shauri Namba 21692 la mwaka 2025 kati ya Bodi ya Wadhamini wa chama cha ACT-Wazalendo na Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa...
5 Reactions
4 Replies
491 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Mashtaka ya tuhuma za Uhaini dhidi ya Tundu Antipas Lissu hadi yalipofikia sasa hivi yanatuelekeza kuwa mashahidi wa viti vya mbele vya mashtaka ya Tundu Lissu dhidi ya...
33 Reactions
69 Replies
4K Views
Ikiwa mikutano ya kupiga kampeni kuendelea nchini. Chama cha CCM kwenye mojawapo wa mikutano yao wameonekana kuwanyima wanachama waliohudhuria kupiga picha wala kirekodi katika mikutano hiyo...
2 Reactions
6 Replies
400 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Kiza Mayeye, amesema iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao, atahakikisha anapigania maslahi ya wananchi kwa...
1 Reactions
1 Replies
225 Views
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya Mwenyekiti wao inaendelea...
0 Reactions
4 Replies
437 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amerudishwa tena katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam kwa ajili ya muendelezo wa kesi yake ya uhaini. Kurudi kwa Lissu leo Septemba...
3 Reactions
4 Replies
526 Views
Nimesoma kichwa cha habari kwenye gazeti la Mwananchi japo linamilkiwa na wageni kiasi cha kukosa maana yake kuwa Jesca Magufuli alivyogeuka turufu kwa CCM Kanda ya Ziwa. Kama siyo uchawa na...
2 Reactions
13 Replies
759 Views
Habari wakuu, Kila inapofika kusikilizwa kwa Kesi za Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu huwa kunaibuka mvutano au sintofahamu ya kuwepo Maaskari katika namna isiyo rasmi eneo wanalokaa wanachama...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini , kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Ibrahim Shayo amezungumza na Wananchi katika ufunguzi wa Kampeni za ubunge wa jimbo hilo uliofanyika katika Uwanja wa...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Hii ni maajabu. Wakati Mzee wasira anayasema haya kwamba anamshangaa Mpina kulalamika kukatwa wakati ametumikia Jimbo la kisesa kwa miaka 20 hivyo muda ulifika aachie wengine. Na Cha kushangaza...
1 Reactions
1 Replies
191 Views
Back
Top Bottom