Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

“Tangu mwaka 2021 hadi leo, Dkt. Samia amefanya mambo makubwa ya ajabu yaliyoushangaza dunia; ametekeleza kwa ufanisi zaidi hata kuliko viongozi wanaume.”-Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Hizi kampeni zimejaa usanii sana, nimekuwa mfuatiliaji wa kampeni hasa ngazi ya Urais ila nayokutana nayo yananifikirisha sana, sasa sielewi hawa wanaosifia na kumpaka mgombea huyo mafuta kwa...
1 Reactions
7 Replies
438 Views
Kesho baada ya Tundu Lissu kuhitimisha rejoinder ya hoja za upande wa Jamhuri kupinga mapingamizi yake, itathibitika pasipo shaka yoyote kuwa, kulikuwa na conspiracy to distract justice of the...
20 Reactions
32 Replies
2K Views
Utetezi wa tatu wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 10, 2025. Utetezi wa Siku ya Pili upo hapa: GE2025 - Utetezi wa Pili wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya...
29 Reactions
58 Replies
6K Views
Kuna mgombea wa Viti maalum kutoka mkoa wa Tabora anayeitwa Christina Mndeme, katika hatua ya kumwombea kura Samia Suluhu, ametupa burudani kwa kupiga magoti na kugalagala chini.
2 Reactions
15 Replies
727 Views
Balozi Ali Karume amkosoa vikali Humphrey Polepole https://m.youtube.com/watch?v=sN6hZvI5faY Mheshimiwa Polepole ni mwanasiasa shughuli ya ubalozi hakuwa anaufahamu kuielewa wala hakutaka...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Salum Mwalimu: "Nilipoaanza walikuwa wananidharau wananichukulia powa, leo wameona moto wangu wameanza kukaa vikao, Watanzania naomba mniombee."
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Kwa kweli inasikitisha sana, gari zimezuiwa ili kumpisha mgombea mweza apite, karibia lisaa sasa na gari la mgombea mweza halijapita na haturusiwi kuendelea na safari mpaka apite! Naona polisi...
3 Reactions
18 Replies
840 Views
Sasa Jamii Forums imefungiwa vipi wakati Rais mwenyewe amesema anapenda kusoma? Unajua kinachoitwa Dini ya Shetani ni pale tu wasomi wanapojificha kuwaona raia kama wanao uwezo wa kufikiri. Kuona...
12 Reactions
19 Replies
834 Views
Mimi najiuliza haya majamaa yaliingizwaje choo Cha kike Namna hii? Hivi wajua Tundu Lissu mara nyingi aliskika akitaka hakimu na wanasheria wa serikali wampeleke mahakama kuu pasipo kuhoji kwa...
14 Reactions
52 Replies
4K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, sintofahamu iliibuka Septemba 10, 2025 wakati wa siku ya kwanza ya kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Ameandika Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche kupitia ukurasa wake wa Instagram "Magari waliyopewa vyama vya mfukoni kufanyia kampeini ni rushwa.. Lengo ni kujaribu kuhalalisha uchafu...
4 Reactions
10 Replies
541 Views
Ukweli ni kwamba CCM wanatumia nguvu kubwa sana ya kufanya kampeni na kushawishi umma kuhusu uchaguzi kama vile wako vitani. Wameshadhibiti miiba na mizumari sijui kwanini wanahangaika sana na...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Mbunge Mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Salome Makamba apiga magoti mbele ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kumuombea kura mgombea nafasi ya Urais Dkt Samia Suluhu...
2 Reactions
10 Replies
566 Views
Mwenyekiti wa Chemba ya Wachimbaji madini Tanzania, Mhandisi Filbert Rweyemamu amesema shughuli za uchimbaji wa madini nchini haziwezi kuanza bila kufuata sheria kuu nne zinazolinda masilahi ya...
0 Reactions
2 Replies
256 Views
Katika kipindi Cha Scanner pale Clouds ulisema unafanya biashara sasa achana na ndharia njoo kwa ground nakupa miaka miwili tu
21 Reactions
88 Replies
5K Views
Nimekutana na hili andiko, naona mtoa hoja ana hoja: Na Ndimara Tegambwage Je, katika mazingira ya uandishi wa habari; yale ya ukusanyaji taarifa kwa ajili ya kuandaa habari au andiko la...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote. Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’ === CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa; "Jeshi la Polisi...
9 Reactions
90 Replies
4K Views
Siku ya nne mfululizo, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam inaendelea kusikiliza mapingamizi ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Brother "G", huu ninaokupa ni ushauri mzuri ambao utakusaidia kukulindia heshima yako nusu uliyobaki nayo sasa hivi. Kumbuka Jimbo la Kawe ndio Jimbo namba 1 au 2...
21 Reactions
197 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…