Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wazee wa Mila katika eneo la Kalenga Mkoani Iringa wameeleza matumaini makubwa waliyonayo kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba tayari wamemkubali kuendelea na wadhifa wake baada ya Uchaguzi...
1 Reactions
12 Replies
605 Views
Nikiwemo mimi nilimuona Makongoro Nyerere angefaa kwa kipindi kile kuwa rais wa nchi yetu maana kila mtu alijua Magufuli hata Tano bora hasingefika, kwasababu watu wanamuogopa, Ninasema hivyo...
3 Reactions
101 Replies
11K Views
Kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi la Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na...
1 Reactions
2 Replies
385 Views
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kwa mujibu wa mawzo yake kwakuwa ana utashi wake binafsi so naomba nitoa mtizamo wangu na sitatoa maoni ili kumfurahisha mtu humu ndani ya Forum ni maoni...
35 Reactions
2K Replies
270K Views
Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kushughulikia mambo mbalimbali...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nashangaa tunajiulize kwanini hasa Tanzania rushwa haikomi Utafit mdogo niliofanya ni huu 1. POLISI TANZANIA Hapa wanaongoza kwa kutengeneza mazingira ya Rushwa. Ukiwa na kesi inayohusisha madai...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari za siku nyingi, nimekuwa kimya kidogo tokea sakata la bandari limeanza. Uwekezaji ni mzuri sana, hasa unapofuata misingi sahihi. Hasa kwa bandari zetu, hizi zinataka mapinduzi makubwa sana...
53 Reactions
104 Replies
8K Views
Mwezi wa 12 nilitoka huku nikaenda Tanzania na uzuri nineamua tu kwenda vijijini 1.kijiji Bugandika 2.Kijiji Musibuka 3.Kishanda 4.Kijiji Kyamulaile 5.Kijiji Katoma 6.Kashasha 7.Kitendagulo...
17 Reactions
124 Replies
10K Views
Huwezi ukawa serious unataka mabadiliko Utapokea Rushwa toka chama tawala. Huwezi kuwa serious unahubiri mabadiliko ukapokea maelekezo toka chama tawala nani agombeee na Nani asigombee. Huwezi...
13 Reactions
68 Replies
2K Views
Kwa utashi tu wa kawaida, hizo ahadi mnazozitoa sasa hivi kipi kimewazuia kuzitimiza kipindi cha uongozi wenu kilichopita? Mnaanza kuahidi siku 100 za mwanzo baada ya kupita uchaguzi mtatoa ajira...
2 Reactions
4 Replies
229 Views
Siku zote nasema. Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku. Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi...
7 Reactions
5 Replies
398 Views
Ni huzuni🙄 Kuelekea uchaguzi mkuu October 2025 na kampeni zinazoendelea,unaona Samia na CCM wanaenda kushindana na nani kwenye sanduku la kura?... . Binafsi ni swali linalotia huzuni hasa ukiwa...
3 Reactions
21 Replies
821 Views
"Tangu uingie uongozi wako [Rais Samia], fedha zimekwenda mikoani kwa wingi ambao haujawahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru. Hicho ni kipimo kwamba nchi inaongozwa na kiongozi mwadilifu ambaye...
1 Reactions
5 Replies
263 Views
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jesca Kishoa, amesema anajilaumu kuchelewa kujiunga na CCM baada ya kutumia muda mrefu akiwa Chama cha CHADEMA. Soma...
2 Reactions
4 Replies
343 Views
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC imemuengua Bw.Hamad Masoud Hamad kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha wananchi- CUF kwa kutokukidhi kigezo cha kuwa wanachama mia mbili katika mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
301 Views
Kesi inayomkabili Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea tena leo Septemba 10, 2025, ikiwa ni siku ya Tatu mfululizo, ambapo upande wa Jamhuri utaendelea kujibu mapingamizi yaliyowekwa na mshtakiwa...
5 Reactions
6 Replies
941 Views
Mgombea ubunge viti maalumu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Mkoa wa Singida Asharose Mattembe amesema katika Mkoa wa Singida kura za mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan zitajaa na...
2 Reactions
8 Replies
358 Views
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuimarisha sekta za maji na nishati endapo atapewa ridhaa...
2 Reactions
7 Replies
322 Views
Mgombea Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzannia Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea kunadi sera kwa wananchi wa Iramba Mkoani Tabora, amewashukuru kwa muitikio...
2 Reactions
13 Replies
723 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ni miongoni mwa waliojitokeza Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatano Septemba 10.2025...
3 Reactions
4 Replies
544 Views
Back
Top Bottom