Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,294
- 58,608
Maskini yuko tayari kubahatisha, hana la kupoteza. Sana anapoteza na anaweza akapoteza lile liumaskini lake, lakini anaona kingine anachoweza kupoteza?
Work for a revolution, tena msiogope revolution. Mimi siku zote naogopa revolution ni minyonyaji.
Wakisikia revolution, unasikia mama wewe! Watu wanaogopa change. Ni wanyonyaji tu, ni watu walioshiba. Lakini mnyonge lazima atake change. Mambo mabaya alafu yaende hivi hivi tu! Mnyonge hawezi kuwa conservative.
Kinachotakiwa kuwa conservative ni yale yanayoshiba. Hayataki change, change itawapangulia mambo."