CHANZO SAHIHI
Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM.
Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika,
Hakuna jambo liliwashtua watu kama...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Iringa, imetangaza msimamo mkali dhidi ya wagombea wa nafasi za kisiasa wanaojihusisha na utoaji wa ahadi za uongo wakati wa kampeni...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
10 Septemba 2025
ARUSHA/NAIROBI – Tarehe 29 Agosti 2025, kampuni ya Match Masters Limited, ambayo ndiyo mtengenezaji mkubwa zaidi wa viberiti salama Afrika...
Za ndaaaniiii
Nchimbi Jana alitolewa kwenye kikao kwamba hahusiki,
Leo mpango, wa kujiuzulu unasukwa
Muda wowote kuanzia leo ataachia ngazi katika nafasi zote - Ugombea mwenza na katibu mkuu...
1. Toka nizaliwe sijawahi kusikia benki ina-upgrade system zaidi ya siku 3 mfululizo.
2. Hii system upgrade ya siku kadhaa mbona kama ni mpango Maalum wa kusafisha akaunti za Mafisadi? Wateja...
"Ndani ya Mkoa wa Tabora, tunakwenda kujenga madaraja 133, katika barabara ambazo tumeziweka kwenye ilani [...] Lakini pia, tunakwenda kuweka taa za barabarani 2,300." - Mgombea Urais wa Tanzania...
Chama cha ACT Wazalendo kimefafanua sababu zilizopelekea kukataa kupokea gari maalum alilokuwa amekabidhiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Luhaga Mpina...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina ameendelea kukazia msimamo wake na chama chake kukataa gari la mgombea urais lililotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)
"suala...
Siku nne kabla ya taarifa ya kuachia ndege yetu huko Canada, kuna watu walipoona Zoka anarudi nchini waka weka comments kwamba kashindwa kukomboa ndege zetu, ndo maana karejeshwa,
So Mara ya...
Tanzania Kuna vituko hatari. Samia na Nchimbi walisikika wakisema ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa wataunda tume ya upatanishi na maridhiano.
Ninavyoelewa maridhiano ufanyika kipindi...
Kwa hali ilivyo nchini, CCM ni kamisaa, mshika kibendera, refa, na mchezaji. Hivyo, mechi iitwayo uchafuzi, sorry, uchaguzi, ishakwisha. Kwanini timu sorry, tume ya uchafuzi, sorry, uchaguzi...
Siansa ni biashara, na malengo ya biashara siku zote ni kupata faida na siyo hasara. Kila anayeunga mkono au kukosoa utawara flani, anayo masilahi binafsi ya kufanya hivyo.
Anayeunga mkono...
No offense lakini lazima tuwe wakweli...
Marekani, China na Urusi ziko zilipo sio kwa sababu wana rais mzuri la hasha ni kwa sababu wavaa miwani myeusi wao wako njema!
Taifa haliwezi kamwe kuwa...
Hebu tushirikiane kuwaza mambo kadha wa kadha hapa na ya msingi;
Mara zote kwenye mambo ya msingi nakuwa firm Kabisa utani pembeni hata Kama kuna nyuki wa mama wananikaba Kwa kusema labda...
Hivi nauliza wanaomiliki SIM cards zaid ya moja tiyari wanapaswa kuziharibu nyingine na kubaki na moja?
Mi nitatoa experience kwa vinchi ambavyo nimewahi tembelea na kupata SIM CARD,
1. Sweden...
Inasikitisha kuona mtu kama Maria Sarungi anayejiita mwanaharakati wa haki za binadamu, akiendelea kuonyesha chuki waziwazi dhidi ya Rais Samia na Wazanzibari kwa ujumla. Kila jambo linalotokea...
Lissu kiroho ni SIMBA kiushabiki ni YANGA.. Lissu ni mwanamageuzi kindakindaki kupitia CHADEMA.. Timu yake ya YANGA Ina vinasaba na CCM anapata tabu sana. Lakini kwa hakika akipewa machaguo mawili...
Akizungumza katika uwanja wa Airport ya zamani jijini Mbeya, mgombea wa urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan ameahidi kuweka taa za barabarani katika maeneo ya Ilomba, njia...
Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.