Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,307
- 14,627
Siansa ni biashara, na malengo ya biashara siku zote ni kupata faida na siyo hasara. Kila anayeunga mkono au kukosoa utawara flani, anayo masilahi binafsi ya kufanya hivyo.
Anayeunga mkono, aidha ananufaika kwa namna moja ama nyinge, pia anayepinga huenda mfumo umemkataa, na unashindwa kuwa na manufaa kwake, hivyo anajaribu kutafuta sehemu ya kupumulia.
Ukweli ni kwamba, hakuna binadamu anayepigana vita kwa ajiri ya mtu au masilahi ya watu wengine. Ndugu zangu WATANZANIA tutaendelea na kufanikiwa, endapo tutaachana na utumwa na Ung'ombe tuliopewa na wanasiansa...