Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini baada ya mapingamizi yake kutupwa na Mahakama, Mahakama ikataka kumsomea mashitaka yake ili...
Mara nyingi viongozi wetu huimba wimbo wa amani kana kwamba ni mali ya kila mmoja wetu. Lakini ukweli mchungu ni kwamba amani hiyo ipo kwao tu—sisi wananchi wa kawaida hatuioni wala kuifaidi.
Ni...
Wakuu,
Akizungumza kwa njia ya mtandao Wilbroad Slaa ametaka Watanzania kuvaa nguo nyeusi ili kuonesha kumuunga mkono Tundu Lissu hasa siku ya kesho ambapo kesi ya Lissu itakuwa inasikilizwa...
Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu.
Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume...
Mgombea Ubunge Jimbo la Mwibara kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kangi Lugola, amezindua Kampeni katika jimbo hilo, huku akiwatumbuiza wananchi kwa kucheza ngoma na muziki, na kuahidi...
Akizungumza leo Septemba 15, 2025 Kutoka Kijiwe cha Kivulini, Mikocheni – Hanifa Mgonela, Mwanachama wa chama cha CUF anaweka wazi namna ambavyo suala la ajira Tanzania limekuwa fumbo lililokosa...
Hili jambo lipo kwa Kasi sana. Nimejaribu kuwasiliana na watu wa mikoa tofauti wamekili kwamba wanapita na kufanya hilo zoezi.
Wanajua wazi kwamba mwaka huu watu hawana hamu na uchaguzi na...
Kutoka kwenye viunga vya lango la kuingilia Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mvutano umeibuka baina ya maafisa wa Jeshi la Polisi na makada wa Chama cha Demokrasia na...
Wakuu,
Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo amesema hakuna chama cha siasa nchini kinachoweza kuiongoza nchi kwa mafanikio kama CCM.
Shigongo...
Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar kwa kushirikiana na Mamlaka ya usafiri na usalama barabarani pamoja na mamlaka nyingine zimefanikiwa kukamata namba zisizotambulika na mamlaka husika...
Mgombea wa CUF Gombo Samandito Gombo ameahidi endapo atashinda atahakikisha kila mtoto atakayezaliwa nchini kabla hata ya kupewa jina na wazazi wake atapewa kitambulisho cha taifa cha Nida ili...
Mgombea wa ubunge katika jimbo la Monduli Mkoani Arusha Issack Corpion Kadogoo akizungumza kwenye kampeni amesema kuwa Hayati Edward Lowassa alishwahi kumwambia kuwa atakuja kuwa Mbunge wa Monduli...
Wakuu,
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha African Democratic Alliance (ADA - TADEA) George Gabriel Bussugu amesema kuwa endapo atapewa ridhaa ya kuwa Rais wa...
Wakuu,
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde maarufu Kibajaji, amesema baadhi ya viongozi wa umma wakishapewa nafasi za uongozi wanasahau utu kwa wananchi wanaowaongoza...
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dkt Samia Suluhu Hassan, amewaambia wananchi wa Tabora kuwa atajenga barabara ya mzunguko yenye urefu wa kilomita 82 ili kupunguza msongamano mkoani humo...
Kinachoonekana ni shamrashamra kubwa, kana kwamba wamepata nafasi ya kuonekana nao wapo kwenye kampeni. Cha kushangaza, kuna vibe lisilo la kawaida. Hii nguvu haiendani na hali ya kisiasa na...
Nimewahi kumsikia Ndg. Humphrey Polepole (aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Cuba) akisema pale chamani walikwisha kuanza michakato ya kuunganisha kadi mbili muhimu — Kadi ya NIDA na Kadi ya mpiga...
Rostam ni mwanamtandao na ni yanga
Kikwete Ni mwanamtandao na ni yanga
Fatma Karume
Mwigulu
Hersi
Mavunde
Ridhiwani
GSM
Maulidi kitenge
Na wengine list Ni ndefu
Sio bahati mbaya yanga...
Mgombea Udiwani Kata ya Forest jijini Mbeya kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Yassin Ngonyani amezindua Kampeni kwa kuweka vipaumbele vyake vya kusaidia makundi mbalimbali ya wafanyabiashara...
Wakili Gaston Shundo Garubindi Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu:
"Baada ya kukamilisha mahojiano kuhusu kosa la Kusambaza taarifa za uongo, Jeshi la Polisi wakasema wanakamilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.