Watu mbalimbali mashuhuri nchini Tanzania wamelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kuwapiga kwa virungu baadhi ya wafuasi wa CHADEMA ambao waligoma kuondoka katika nje ya Mahakama Kuu jijini Dar es...
Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila...
Ili kuwa mwandishi mzuri wa habari, ni lazima uwepo eneo la tukio. (To be a good journalist, you have to be there.) Ryszard Kapuściński
Ni ngumu sana kulizungumzia jambo kiundani kama aukuwepo...
Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Pwani limelaani hatua ya Polisi Mkoa wa Morogoro kumshikilia mwanachama wake, Lucy Shayo, kwa zaidi ya siku tatu bila dhamana, wakidai kitendo...
Chama cha ACT Wazalendo kimethibitisha kuwa Mgombea wake wa Urais, Luhaga Joelson Mpina, amewekewa mapingamizi matatu ya uteuzi wake na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na wagombea urais wa...
ampeni za Uchaguzi Mkuu zimeendelea katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, ambapo baadhi ya wakazi wametoa ombi kwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bahati Ndingo, kusimamia...
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman leo September 13 anazindua kampeni zake katika uwanja wa Tibirinzi, Chake Chake, Pemba kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa...
Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Septemba 13, 2025 anatarajiwa kuzungumza na Waandishi wa Habari baada ya kurejesha fomu zake katika Ofisi ya Tume Jijini Dar es...
Mgombea Urais kwa tiketi ya CHAUMMA, Salum Mwalim amewaomba wananchi wautumie vyema uchaguzi kuleta viongozi bora baada ya kuwapima nia na uwezo wao wa kuchagiza maendeleo.
Mwalim ametoa rai hiyo...
Akiongea katika mkutano wa kampeni za Urais, mkoani Kigoma, Mgombea wa CCM, Samia Suluhu amesema jimbo la Kigoma ana watoto wawili(Baba Levo na mwingine), kwani huyo mwingine ana vibao vinavyosema...
Juzijuzi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lilitoa taarifa kwamba wanapitia majina ya vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na jeshi hilo.
Itakumbukwa kuwa mwezi April mwaka huu JWTZ walitoa...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ameainisha sababu za Watanzania kumpa kura Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza kwenye...
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Lambert Kaiza amesema licha ya changamoto za kiuchumi anazodai zimesababishwa na uongozi uliopo chini ya...
Jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu, masjala ndogo ya Dar es Salaam, ambao ni Jaji Dunstan Nduguru, Jaji James Karayemana na Jaji Ferdinand, wametupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Tundu...
Ni aibu kubwa Rais kuwa mtuhumiwa, familia yake, wasaidizi wake, unajisikiaje amani ukiwa umezungukwa na watuhumiwa wa uhalifu, na umezungukwa na watendaji waandamizi, wanaishi maisha ya kufuja...
Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana
CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni...
"Nimefanya ka research kidogo, kuongea na manguli kadhaa wa kadhaa pia kuchukua wasaa kujiridhisha."
Yafuatayo ni Yatokanayo:
Ashukuriwe mwana halisi wa nchi hii Humphrey bin Polepole...
Wakuu,
Aliyekuwa mtia nia wa Ubunge jimbo la Ulanga na Mshindi wa Pili wa Kura za Maoni Mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdallah Kirungu, amemuombea radhi mgombea wa...
Ndiyo police nyie ni ndugu zetu na wengine ni marafiki zetu na jamaa zetu pia.
Tunajua nyie mko kazani lakini punguzeni kutumia nguvu kubwa pasipo na ulazima. Tukio la leo mahakamani sio tukio la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.