Utetezi wa sita wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 16, 2025.
Kilichojiri kwenye utetezi wa tano kipo hapa: GE2025 - Utetezi wa tano wa Tundu Lissu...
Haya ni maoni yangu:
Binafsi napenda sana kuona siku moja watanzania kwa mamilioni nchi nzima wanaandamana kudai mabadiliko. Hata hivyo,, kwa sasa naona ni vigumu kwasababu mbalimbali mojawapo...
Ni yupi ana ushawishi zaidi na angalau mtaji wa kura za kumzidi mwingine? Kumbuka Luhaga Mpina anatoka mkoa Simiyu, huku Salumu Mwalimu akiwa anatoka Unguja, Zanzibar.
Salum Mwalimu ana uzoefu wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Ni Kiongozi Mwenye Maono, ni kiongozi anayeishi mbele ya Wakati ,ni kiongozi ambaye anawaza miaka Elfu moja ijayo,ni kiongozi Mwenye akili kubwa na...
Habari!
Wanasheria, tunaomba mtusaidie walau tuweze kujua ni nini utaluwa msaada wa hawa mashahidi kutoka Kenya na Uganda katika hii kesi ya uhaini inayomkabili Lissu.
Kwa maneno mengine, wata-...
Tundu Lissu "Ni ajabu Mheshimiwa Hakimu hapa ni Mshtakiwa anaedai apelekwe mahakama kuu akashtakiwe, Kama Mahakama itaona ana hatia anyongwe. Twendeni tukapambane, si mnataka? Si mmefungua kesi ya...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesisitiza kuwa, Chama cha ACT-Wazalendo, hakina mgombea urais wala makamu wa urais.
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima...
The Tanganyika Law Society
The Bar Association Of Tanzania Mainland
22 SEPTEMBA 2025.
TAARIFA KWA WANACHAMA WA TLS NA WATEJA WANAOFIKA KUPATA HUDUMA MAKAO MAKUU YA TLS.
Leo, Ofisi ya Makao Makuu...
James Mbowe mgombea ubunge jimbo la Hai kupitia chama cha Ukombozi wa umma CHAUMMA apiga kampeni za kuwania ubunge akiwa amevalia sare za chama chake cha zamani cha Chadema, ikumbukwe kuwa James...
Kuna muda unasikiliza sera za CCM unaweza kudhani kuwa kwa miaka 60 iliyopita nchi ilikuwa chini ya CHADEMA au chama kingine
Sasa suala la umeme
=====================
Mgombea wa nafasi ya Urais...
Kwa wanaojua namna wana Arusha wanavyojitambua na walivyo na historia ya kuchagua upinzani ukiondoa mwaka 2020 ambapo Magufuli aliwafanyia ujambazi, anashangaa maana na mantiki ya CCM kuweka Daudi...
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Agosti 27...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, akiwa katika Kata ya Guruka, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma, ameahidi kuwa...
“Miaka 60 badala ya kukabiliana na ujinga, tumeamua kuupamba; tumeamua kusheherekea wahitimu wa shule za msingi wasiojua kusoma na kuandika: tumeamua kuwa na wahitimu wa sekondari wasioweza...
Mambo ni moto . ..nilisema Kuna siku isiyo na Jina TRAORE wa Tanzania ataingia madarakani . ..
Na siku hio itakapokuja, hakika kuna watu watafungwa... Wengine watakimbia nchi, wengine...
Awali Mkutano huu ulikuwa ufanyike Saa Tano Asubuhi, umesogezwa mbele hadi Saa Sita Mchana, leo Septemba 22, 2025 kwenye Ukumbi wa Maalim Seif ndani ya Jengo la ACT Wazalendo Jijiji Dar es Salaam.
Tanzania kama nchi nyingi za Afrika tuna-experience kubwa sana ya kutonufaika na rasilimali tulizonazo kama nchi mfano ukienda kanda ya ziwa kuna migodi mikubwa ya dhahabu ila still kuna umaskini...
CCM wanaendelea na mambo ya upako bhana siyo tu Makonda aliyelia na kutoa wapiga kura wake mapepo Wengine wanaombewa kutokuwa mafisadi
-----------
Padre Sixbet Kiondo amefanya maombi maalumu ya...
"Rais Samia tumepewa na Mungu hakuwa na timu ya kampeni, hajawahi kuwa na mtandao wala hajawahi kukanyaga watu akijiandaa kutafuta cheo. Tumuombee afya njema Mungu aendelee kumlinda na kumpa moyo...
Huu wimbo ulitoka kuelekea kipindi cha uchaguzi wa J.K Kikwete mwaka 2004 na hayo aliyoyaimba hayakutokea. Ni miaka takribani 22 toka wimbo utoke na leo yote yaliyoimbwa yanaelekea kuwa dhahiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.