Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Viti Maalum mstaafu kupitia CHADEMA, Felista Njau, ameendelea na mbinu yake ya kampeni kwa kuingia moja kwa moja sokoni badala ya mikutano ya hadhara, akiwahimiza wananchi kumpa kura ya...
1 Reactions
5 Replies
442 Views
Sheria inasemaje? Kesi kurushwa live... Mahakama haiwezi kuingiza mamia ya watu ila wakii-stream kesi hata tulioko vijijini tunaangalia. Sijui sheria inasemaje? Au vyombo vya habari havijawahi...
3 Reactions
5 Replies
460 Views
Mgombea urais kwa tiketi ya NLD, National League for Democracy,Bw. Doyo Hassan amefika Butiama leo. Alipokelewa na Madaraka Nyerere na Andrew Nyerere. Ametembelea kaburi,ameonyeshwa residence...
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Nakuacha na kichupa hicho, sita lia nakutoa machozi, Nitafurahi kwani hukumu yako inakuja, Unakula wenzio na wewe Utaliwa. https://youtu.be/CjZTT1rix8M?si=wlTyehT-zvrX8uc3
2 Reactions
2 Replies
314 Views
Kuna mti mkubwa wenye kivuli, lakini mizizi yake inanyonya maji yote ya shamba. Nyuki wanapiga kelele juu ya tunda moja tu, ila mashamba mengine yanakauka. Wazee wa baraza wanapiga mihuri bila...
2 Reactions
7 Replies
360 Views
"Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele, sasa hii ni kwa Taifa hata mtu mmoja mmoja, ukifanya kazi ipasavyo unainua utu wako mwenyewe...
1 Reactions
8 Replies
381 Views
Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameeleza kuwa ikiwa Chama hicho kitapewa ridhaa Oktoba, 29, 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ile ya...
0 Reactions
3 Replies
252 Views
Sote tunafahamu juu ya utendaji mbaya kabisa wa jeshi la polisi linapokuja suala la haki. Polisi walio wengi hakuna chochote wanachoelewa, zaidi ya kuoiga watu. Kuna matukio mengi kwenye mahakama...
1 Reactions
11 Replies
584 Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, amesema serikali ya ADC itahakikisha kila halmashauri nchini inakuwa...
1 Reactions
1 Replies
160 Views
𝗞𝘄𝗮 𝘀𝗵𝗲𝗿𝗶𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗨𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗻𝗮 𝘁𝘂𝗺𝗲 𝗵𝗶𝗶 𝘆𝗮 𝗨𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗻𝗶 𝘄𝗮𝘇𝗶 𝗸𝘄𝗮𝗺𝗯𝗮 𝘂𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗺𝗸𝘂𝘂 𝟮𝟬𝟮𝟱 𝘂𝘁𝗮𝗸𝘂𝗺𝗯𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗰𝗵𝗮𝗳𝘂𝗸𝗼. Nimemaliza kusoma sheria namba 02 ya mwaka 2024 inayoanzisha muundo wa Tume ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri? Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio...
12 Reactions
24 Replies
2K Views
Mh Rais Samia ilani ya ccm inasemaje kuhusu utekwaji na kuuwa kwa vijana wa kitanzania? Lejea mdude, SOKA shyrose na wenzake? Je vijana msio na ajira mtampa ajira Samia Suluhu hassani?
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Tutaenda pale bandarini kwa DP world wengine bungeni, wengine nendeni ikulu nendeni, wengine nendeni kwenye tume huru kudai mabadiliko wanajifanya hawasikii. Sasa tuone watalinda wapi.
3 Reactions
9 Replies
426 Views
Wakuu, Huu uchaguzi ni balaa! ====== TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Singida Mjini, Hamis Nkua, amechomwa kisu katika mkono wa kushoto begani. Akizungumza na Nipashe Digital katika Hospitali ya Rufaa ya Mandewa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Sasa wewe Gambo unabisha Makonda hakutoa mapepo, unabisha ulikuwepooooo? Je yalienda wapi mapepo hayoo? Ila siasa ni konyo wasemavya wapemba
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa ndio njia pekee itakayowezesha...
0 Reactions
2 Replies
246 Views
Je, Hamphrey Polepole anaandaliwa kurithi mikoba ya Lisu na nafasi ya uenyekiti wa chadema masalia Taifa? Kwanini sasa, na mbona mapema mno? Kwasasababu kuna kila dalili na viashiria vya...
1 Reactions
111 Replies
3K Views
Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu...
76 Reactions
2K Replies
231K Views
Mgombea Udiwani Kata ya Zingiziwa Jimbo la Ukonga, Jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Selemani Kaniki ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kutoa elimu kwa Jeshi la akiba (Mgambo)...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Back
Top Bottom