Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumbe mama anachokozwa sana, naye achokozeki! Ni likuwa silijuwi hilo ==================== “Msivunje amani sababu ya uchaguzi. Kuweni kama mimi, mama yenu, bibi yenu, dada yenu; nikichokozwa...
2 Reactions
24 Replies
834 Views
Wakuu, The reason Tanzania watu wengi hawataki kuandamana na hawataki kushiriki kwenye siasa ni kwa sababu mfumo hauwagusi direct. Yaani mtu ana barber shop yake. Halipi kodi. Yeye ananyoa tu...
0 Reactions
11 Replies
294 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira miongoni mwa sababu za Watanzania kymchagua Mgombea urai wa CCM Dk. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na uwezo wake kutumia...
1 Reactions
11 Replies
344 Views
Orodha ya Matukio ya Utekaji na Kukamatwa kwa Watu Mwaka 2024 S/N JINA TAREHE MAELEZO MAFUPI MAKAZI 1 Yonzo Shimbi Dutu 2 Machi 2024 Kwa mujibu wa TLS, alikamatwa na askari polisi wa...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Ndugu zangu leo 18 Septemba 2025 muda wowote kutoka sasa tunapanda hewani mjulishe na mwenzio. Niko na majibu ya waraka wa Jeshi la Polisi na mengine yahusianayo! NB: Naomba Jeshi la Polisi...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu sisi wana habari tuna kanuni moja ngumu sana, tunaambiwa Tusikalie habari, Kwa hiyo msichoke jamani, kizuri kula na nduguyo. Huu hapa ni Mkutano wa Chadema mapema asubuhi maeneo ya Himo...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Nimekutana na clip hii ya Profesa Issa Shivji akiwa anazungumza na Jenerali Ulimwengu kwenye kipindi ambacho kinarushwa The Chanzo Clip ni ya mwaka jana lakini vitu walivyoongea humu...
0 Reactions
4 Replies
345 Views
Ndugu zangu Watanganyika huu msafari wa gari zaidi ya 200 wanini katika nchi hii maskini iliyojaa madeni? Wote kwa pamoja tujiulize haya ndio matumizi sahihi ya kodi zinazokusanywa kila uchwao...
20 Reactions
58 Replies
3K Views
During the JPM regime, there was only one kidnapping gang, led by JPM's home boys Albert Bashite and former Nyaulingo RSO Mby.. The gang involved security personnel from the Lakes region and no...
23 Reactions
63 Replies
3K Views
Ameandika Mangekimambi "Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia. Yani ni hivi...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema Chama kinafanya kazi kubwa ya kuleta mabadiliko ili kuwaletea maendeleo wananchi. Aidha, amesisitiza wananchi...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Siyo siri moja kati ya majeshi ambayo naweza kukiri imani yake kwa Wananchi wengi ni kama imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matukio mbalimbali yanayowahusu nchini basi ni Jeshi la Polisi...
1 Reactions
4 Replies
425 Views
Wakuu habari, Hizi ni baadhi ya picha na video za Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Mkumbo akipita mtaani kusaka kura kutoka kwa wananchi kwenye...
1 Reactions
5 Replies
476 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani amezindua rasmi kampeni za Udiwani katika kata ya Kashasha, jimbo la Muleba kusini na kuzungumza na...
1 Reactions
4 Replies
446 Views
Wanajamvi kwema? Nadhani wote tunakumbuka tarehe 15/09/2025, taifa lilishuhudia kadhia ya aibu katika Mahakama Kuu DSM. Wanachama wa CHADEMA walipigwa na kudhalilishwa na jeshi la polisi ila...
2 Reactions
13 Replies
852 Views
Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Aron Kagurumjuli imesema umiliki wa kiwanja kilichopo kwenye kitalu namba 1,022 eneo la Sinza E, Dar es Salaam ni wa mtu...
1 Reactions
1 Replies
287 Views
Kabila la Wamwera kutoka wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi limefanya ibada maalum ya kuombea taifa amani kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba mwaka huu Akizungumza...
1 Reactions
3 Replies
304 Views
GT Kuna watu waliuliza maswali mengi sana kwamba ni nani huyu anayekaa na Raisi wetu ikulu kizembe namna hii. Huyu anaonekana ni untouchable ana pesa nyingi hadi hajui azipeleke wapi na sijui...
28 Reactions
218 Replies
14K Views
19 September 2025 RAIS SAMIA AMEMZIDI MAGUFULI, TUME INEC IMEWEKA USAWA, HATUKUPASWA KUWA MASIKINI - MZEE PASCHAL MAYALA https://m.youtube.com/watch?v=oftPkSsFP4I Mwandishi mkongwe mzee Paschal...
3 Reactions
12 Replies
590 Views
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu Ado amevifikia vijiji 40 vya Jimbo hilo kupitia kampeni yake ya Kijiji kwa Kijiji ambayo sasa...
1 Reactions
1 Replies
361 Views
Back
Top Bottom