Hii picha ukiiangalia kwa kawaida unaweza fikiri ni kikatuni na kawaida tu.
Ila ukweli halisi ni kwamba hii picha ni kielelezo tosha juu ya Mhimili gani wa Mahakama tulionao Tanzania sasa. Ni...
Tangu Kisutu hadi mahakama kuu nikifuatilia hii kesi ya uhaini nimefikia hitimisho kuwa kinachofanyika ni figisu tu. Lugha ngumu, mabuku makubwa, muda mwingi kupotea, na mavazi yenye madoido...
Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake.
Hii inakuja baada...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Shirika la Chakula na Kilimo (NAFCO) limetoa hekari 3,000...
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, akizungumza nje ya Ukumbi wa Mahakama Kuu ambako inaendelea kusikilizwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema...
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dtk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo Serikali itajenga soko kubwa la Kinyasini lenye miundombinu ya kisasa kwa ajili...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiznungumza nje ya Ukumbi wa Mahakama Kuu baada ya kusikilizwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu amesema; "Hii...
Hizi ni tuhuma nzito sana..Mtoto wa mkuu wa nchi kuhusishwa na genge la utekaji! Tena anayetoa tuhuma hizi alishawahi kuwa mtu wa ndani kabisa Ikulu.
Au ndio kusema kisu kimegusa mfupa na maumivu...
Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeiomba Mahakama Kuu kupima maneno na taarifa zinazoripotiwa na vyombo vya habari, wakidai baadhi yake ni...
Watanzania wenzangu, tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku muhimu sana kwa nchi yetu. Tumekuwa tukililia haki zetu kwa muda mrefu, lakini viongozi wameendelea kutunyima na kupora utajiri wa taifa letu...
KWa mdomo aliokuwa nao Baba Levo ambaye hachagui cha kuongea, Zitto Kabwe kazi unayo.
Wapiga kura wa Tanzania wamebadilika, hawaangalii usomi tena ndio maana wako tayari kumpa ubunge Mr Two a.k.a...
Wakati Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikisisitiza kuwa kuwa Luhaga Mpina sio mgombea urais wa.Jamhuri ya Muungano kwa kuwa alienguliwa, chama cha ACT Wazalendo kimesema bado Mpina ni...
Lushoto, Tanzania
Alhamisi, 18 Septemba 2025
MAFUNZO YA UENDESHAJI MASHAURI YA UCHAGUZI KWA MAJAJI, MAHAKIMU YAHITIMISHWA
https://m.youtube.com/watch?v=WAAaVOMqZkM
· Jaji Mkuu asema ipo haja ya...
Haujapita muda mrefu sana amekujibu kwa namna ya kawaida. Huwa mkienda Ikulu mkanywa Juice mkapewa na ya Usafiri basi mnatoka mkiwa mmeacha akili mlango wakati mnaingia na mnapotoka mnatoka bila...
Unatafuta nani wa kumlaumu ni wewe mwenyewe.
Ni moja ya kiongozi uliingia madarakani ukiwa unapendwa na sifa kedekede, ila baadae ukituona mafala na kutuzunguka.
Imekucost wewe,legacy yako...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kiwani kupitia Chama cha Mapinduzi, Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wananchi katika Mkutano wa ufunguzi wa Kampeni za CCM ndani ya Jimbo la Kiwani uliofanyika katika...
Wakuu nimejaribu kuwaza mbali, tusije tukaishia kutoa mapepo na kumuingiza shetani!
Itakuaje sasa, kwa mfano tukawatoa kijani, tumeshawaza ni nani tutakayempa dhamana ya kuwa mbeba maono wa...
Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kujengwa kwa reli ya kisasa yenye urefu wa takribani kilomita 1,000 itakayoanzia Mtwara hadi Mbamba Bay...
Watanzania wenzangu, tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku muhimu sana kwa nchi yetu. Tumekuwa tukililia haki zetu kwa muda mrefu, lakini viongozi wameendelea kutunyima na kupora utajiri wa taifa letu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.