Mgombea Ubunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema, "Kama nitashindwa kuleta barabara hapa Ujiji, 2030 nikitokea mbele yenu...
PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 20 amesimamisha hotuba yake ya kampeni kwa dakika moja katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya...
Katika mchakato wa Kidemokrasia, Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na Tume huru ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inachukuliwa kama nguzo kuu ya uaminifu wa wananchi. Lakini hatua ya Tume kuwapatia wagombea...
"Chama chetu mnamo Agosti 06, kiliteua mgombea Urais na Mgombea Mwenza ndugu Luhaga Mpina na Mama Farma Ferej lakini Kwa sababu wanamuogopa sana mgombea wetu wakaanza kuweka vizingiti kumzuia...
CCM wanaendelea na kampeni zao lakini jambo la kushangaza ni hili la kusomba wananchi kwa malori pasipo kujali usalama wao.
Sheria Hairuhusu kwa sababu hayo ni magari ya mizigo, na hayaruhusiwi...
Leo Tarehe 25/12/2021 Viongozi wa Bavicha wamefika kwenye gereza la Ukonga kula Sikukuu pamoja na Mwamba Freeman Mbowe , Laingwaanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika...
Wengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela.
Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu.
Mbowe alisota...
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Dkt. Benson Bagonza ametoa wito kwa Watanzania hususani wanasiasa kutafakari mustakabali wa Taifa ulivyo, akidai kuwa endapo mambo yatabaki kama ilivyo sasa...
Asante kwa wote walioshiriki kwenye hili. Historia haitowasahau, mlicheza upande uliosahihi. Ule uchaguzi ili mark mwanzo wa siasa mpya na mageuzi makubwa kwa nchi.
Huu ni moja ya UZI MFUPI ILA...
Rostam anaonekana kuzidi kuvimba kichwa, ila cha ajabu miaka yote mkuwa kimya, iweje leo kelele zikizidi ndipo mtoke mkimbilie kumtetea?
Hii press ionekani zaidi kama jitihada za kumsafisha huyu...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kwamba miongoni mwa malengo yaliyopo kwenye mkakati wa utekelezaji ni pamoja na kutengeneza umeme wa upepo ambao...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, amesema kuwa chama hicho kitaendelea kupigania haki na ukombozi wa taifa licha ya changamoto mbalimbali...
Imeoneshwa kule x video inayozubguka mitandaoni majitu kama sita hivi yakimzingira nakumbeba jujuu mtu mmoja na kumuingiza kwenye gari rangi nyeupe na kutokomea naye huko yanakowapeleka wengine...
Ndugu mama Samia.
Umetufungia JF tusiiaccess ndani ya Tanzania, lakini tutakueleza ukweli na utakufikia.
Iko hivi mama yangu, ndani ya nchi yetu kuna vilio kila kona, watu hawaridhiki na nchi...
Wakuu
Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi
===
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza...
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais...
Hii issue ya Wamasai kuhamishwa kutoka kwenye makazi yao ya asili imepamba moto kwenye hii awamu. Mkoloni mwenyewe hakuwahi hata kuattempt kufanya hivyo na serikali za awamu zilizopita pia...
Wakuu, Crown wamemtoa wapi huyu mwanadda? au ndio makada hawa na hatujui?
Soma pia: Susan Lyimo: Kususia uchaguzi ni kama kumuachia ngedere shamba la mahindi, sisi tutazuia hatususii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.