Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Masanja Kadogosa amewapokea wanachama kutoka vyama mbalimbali vya upinzani ambao wamejiunga na CCM wakati akinadi sera...
1 Reactions
2 Replies
200 Views
"Nchi yetu ina umoja. Nchi yenye makabila 120 wa rangi mbalimbali, waumini wa dini mbalimbali, lakini hakuna ugomvi wa kikabila, hakuna ugomvi wa kidini, wala hakuna ugomvi wa maeneo." - Rais...
1 Reactions
9 Replies
371 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Kama Nuru na Mwanga Gizani, ni Tumaini la Watanzania, ni kipenzi cha watu. Anakubalika ,kupendwa na kuaminika utafikiri Nabii mwenye Kibali cha...
-7 Reactions
85 Replies
2K Views
Jana Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni amezindua kampeni zake, Hapa chini ni sehemu ya Hotuba yake ya uzinduzi :::::::::::::::::::: HOTUBA YA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI AGENDA KUU...
2 Reactions
5 Replies
427 Views
1. Kukumbatiwa kama Mwajuma wa Tandale na mhuni Wicknell Chivayo ndani ya ikulu ya Tanzania. This is abomination. 2. Kunyweshwa kinywaji kilichonywewa (na kuachwa) na Philipe Nyusi kama ishara ya...
31 Reactions
30 Replies
1K Views
Wanachama na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanajiamini sana, yaani wanatoa kauli chafu hadharani bila hofu ila angekuwa ni mwanachama wa chama fulani au mwananchi mwenye harakati zake hapa...
0 Reactions
2 Replies
226 Views
Chanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter ......................................................................................... Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki, Watanzania na jumuiya za...
22 Reactions
98 Replies
5K Views
"Lazima kama Taifa tuwe na mikakati ya kujitegemea sio heshima Nchi kama Tanzania tunaishi kwa misaada ili tufikie huku lazima tulipe na kukusanya kodi ambapo bado tunapata shida katika maeneo...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Inasemekana ongezeko la ticket kuingia $45 na kutoka $45 jumla $90 kwa kila ticket za wageni na Watanzania wasafirio nchi ni deal ya Abdul na mkurugenzi wa taifa lakini sina uhakika. Je ni bunge...
3 Reactions
4 Replies
263 Views
Vijana wenzangu siku ya tarehe 29 October ni siku yetu ya kuikomboa Tanzania na kujenga Tanzania mpya. Sasa basi tusipelekeshwe na wanasiasa maana hawa ndio vigeugeu wakutuchomesha maana wengi ni...
3 Reactions
19 Replies
744 Views
Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman (OMO) atoa ahadi zake 10 kuhusu mambo atakayoyatekeleza iwapo atashinda Urais lipo la mshahara kima cha chini kuwa Milioni...
0 Reactions
2 Replies
197 Views
Wakuu, Viongozi wa Jumuiya ya Maridhiano na amani Mkoa wa Mtwara, wamesema wanaridhishwa na utu wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na Falsafa ya R4 ambazo ameziasisi. Aidha, wamesisitiza...
1 Reactions
2 Replies
218 Views
Wakuu, Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga ambaye sasa ni Mbunge Mteule wa Viti Maalum Vijana wa CCM Zanzibar, Zainab Abdallah, amewaomba wananchi wa Jimbo la Mtambile, Mkoa wa Kusini...
1 Reactions
6 Replies
331 Views
Hamjambo wote! Ni ngumu Sana kuitenga Dini na Siasa. Ngumu Sana. Ikiwa nchi inawananchi wengi wanaoamini katika Miungu na Dini huwezi kutenganisha siasa na Dini. Ndio maana wanasiasa katika nchi...
13 Reactions
79 Replies
4K Views
Nilikuwa nafatilia mwenendo wa mashataka unaoendelea kwenye Kesi inayomkabili Mh Tundu Lissu. Ambapo anatuhumiwa kwa makosa ya uhaini au kujaribu kuitishia mamlaka ya jamhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
6 Replies
337 Views
  • Featured
Kutokana na kifo cha mgombea ubunge wa Fuoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Ali Mwinyi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeahirisha uchaguzi wa ubunge katika jimbo hilo hadi pale...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu, Kwa picha hizi mwaka hakuna Uchaguzi kabisa yaani ni maigizo tu. Mgombea wa urais kupitia Chama cha ADC, Wilson Elias akinadi sera zake katika mkutano wa chama hicho uliofanyika leo...
1 Reactions
3 Replies
333 Views
Mgombea ubunge wa Mtambile, Zanzibar, Mohamed Abdallah Kassim amewaomba wananachi kutunza amani kwa sababu ni tunu muhimu ya taifa ambalo wanapaswa kuilinda ili kufanikisha maendeleo na ustawi wa...
1 Reactions
3 Replies
217 Views
Zitto kupitia ukurasa wake wa X anaandika; "Katika mazungumzo yangu na wakazi wa Kata ya Machinjioni nilielezwa dhahma iliyowakuta tarehe 17/01/2023 ambapo walivunjiwa nyumba zao kupisha eneo la...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Wakuu, Nimekutana na video hii ya magari ikiwemo mabasi na maland cruiser yakiwa na picha za Makonda na Samia huku yakiwa yamerembwa na rangi za CCM Lissu yuko gerezani, Mpina kapigwaa stop...
2 Reactions
6 Replies
494 Views
Back
Top Bottom