Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nyerere alisema maadui wakuu wa Tanzania ni Ujinga maradhi na umasikini, Haya yote yanatokana na baadhi ya watanzania kuwa Wabinafsi na Roho mbaya mno! Mtu anajiwaza na kujifikiria yeye mwenyewe...
2 Reactions
3 Replies
197 Views
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 mkoani Mtwara, Mgombea Urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Ndanda Wilaya ya Masasi...
0 Reactions
0 Replies
160 Views
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda amesema kuwa ni aibu kubwa kwa jiji kubwa kama Arusha kutokuwa na stendi ya kisasa. Amesisitiza kuwa jambo hilo linapaswa kushughulikiwa...
0 Reactions
3 Replies
255 Views
Jaribu kukadiria ni kiasi gani huyu MC atakuwa amelipwa, kama ulifuatilia Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tunduru Mkoa wa Ruvuma utaona huyu jamaa ndo alikuwa MC Ingekuwa vyema pia...
1 Reactions
4 Replies
250 Views
Kada wa ACT Wazalendo, Monalisa Ndala, amezungumza mengi kuhusu hali ya kisiasa nchini na kinachoendelea ndani ya chama chake ambacho kilishatangaza kumvua uanachama, ambapo amesema: "Mpina...
0 Reactions
3 Replies
285 Views
GT Hawa wacha wale jeuri yao. Kwanza hawa wanatumika vibaya na maCCM
0 Reactions
4 Replies
261 Views
Naona mama Samia anapeleka ujumbe kwa CHADEMA bila shaka. Lakini akumbuke kama yangekuwa yamefanyiwa kazi basi vyama vyote ikiwemo CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Halafu bingwa angejulikana katika...
2 Reactions
9 Replies
569 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kuibua upya Barabara ya Msimba-Ujiji ili kuwaondolea wananchi wa Kata ya Businde changamoto ya...
0 Reactions
1 Replies
223 Views
Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo Professsa Kitila Alexander Mkumbo Septemba 23 ameendelea na kampeni zake katika kata ya Sinza kuinadi ilani ya Chama cha Mapinduzi na kumuombea kura mgombea Urais...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Segerea kwa tiketi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, akiomba kura wakati wa kampeni yake ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika kwenye kata ya Kisukuru...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Ally Mshamu Nampwita, mkulima wa zao la korosho kutoka Kijiji cha Mnavira, Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara, amesema mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Wakuu, Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka vijana nchini kutambua nafasi yao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisema matokeo...
1 Reactions
4 Replies
401 Views
“Hatuna sababu ya kukupa kura ya kutiki kwa sababu tunaitambua kazi yako” amesema Mmasai akimaanisha kumpa kura Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Hussein Ali Mwinyi. Amesema watalii...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Halima Mhando Rajab, akizungumza kupitia Crown FM, amegusia kuhusu athari za vijana kutoshiriki katika uchaguzi na jinsi hali hiyo inavyoathiri utendaji wa vyama vya siasa, akisema wazi, 'Kususia...
2 Reactions
5 Replies
296 Views
Toka lini kwenye uchaguzi SERA zikamithilishwa na AMANI? Siku zote shilingi lazima iwe na pande mbili. Na demokrasia ni shilingi yanye pande 2. Kamwe haitakaa nchi ya kidemokrasia watu wote...
3 Reactions
8 Replies
374 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tarimba Gulam Abbas, amesema wananchi ndio wenye mamlaka ya kuchagua viongozi wanaowataka kwa ajili ya maendeleo yao...
0 Reactions
3 Replies
214 Views
Wengi hawajui kuwa mama Hangaya aka Makete ndiye Mkinga wa kwanza kufungua duka Kariakoo akifuatiwa na Naflesi Mbilinyi Sisi jirani zenu Wahehe twawapa pole sana Jumuiya ya Wakinga na Wanachama...
10 Reactions
114 Replies
4K Views
Wakuu Wakazi wa kata ya Kipunguni wameishukuru serikali kwa kuwezesha ujenzi wa shule ya sekondari ya ghorofa nne ya Kipunguni B. Wakazi hao wamemshukuru Dkt. Samia kwa kutoa Shilingi Bilioni...
1 Reactions
2 Replies
380 Views
Nina marafik zangu ambao ni watumishi wa Umma kama wanne walichukua fomu CCM kugombea Ubunge 2025 katika majimbo na viti maalumu, ila kura hazikotosha na wengine Kamati Kuu haikuwateua Sasa...
3 Reactions
11 Replies
484 Views
Huyu baba sio kawaida yake. Haiwezi kupita week hujamsikia kwenye chombo cha habari ,ila nashangaa kawa kimya hata kwenye kampeni za wanafamilia wake haonekani mara kwa mara. Yuko wapi huyu baba?
3 Reactions
14 Replies
735 Views
Back
Top Bottom