GE2025 Baba Levo: Kama nitashindwa kuleta barabara, 2030 nifukuzeni

GE2025 Baba Levo: Kama nitashindwa kuleta barabara, 2030 nifukuzeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,299
Reaction score
18,448
Mgombea Ubunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema, "Kama nitashindwa kuleta barabara hapa Ujiji, 2030 nikitokea mbele yenu nifukuzeni. Barabara zitakuja kivyovyote, iwe kwa Uchawa, kwa kufoka ama kubembeleza lazima nilete barabara hapa"

 
Halafu akifukuzwa hizo barabara ndiyo zitakuja?
 
Back
Top Bottom