Nawasalimu nyote kwa isani ya maandamano ya amani 29 October
Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi
kakikundi kidogo...
Jamani eh, nyie makamanda tusidanganyane kabisa.
Hayo maandamano yenu yashabuma kabla hata ya kuanza.
Mtaishia kupayuka tu huku kwenye mitandao.
Huku uraiani hakuna mwenye habari za hayo...
Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake.
Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia...
Tunakujua Ndani nje , tunajua Maisha yako na Mali zako ambazo umezipata Kwa Hila , tukikaa vijiweni unajitamba Kwa majumba yako uloyapata au sio ?.
Mara ya Mwisho tumekaa Butiama.
Ujifungue...
Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣].
Inadaiwa...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wake Tundu Lissu itaanza kusikilizwa kuanzia tarehe 6 Oktoba 2025 hadi 24 Oktoba, kisha...
Hayo maneno alipata kuyatamka Mwalimu Nyerere (mwaka 1960), siku chache kabla hajaapishwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika wakati huo.
Lakini miaka michache mbele(1964), jeshi likaasi. Tukio baya...
Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi akizungumza na waaandishi wa habari katika leo Oktoba 5, 2025 katika ukumbi wa White House CCM Makao Makuu...
Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X
TAARIFA KWA UMMA
Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya
1. Mhe. John Heche
2. Mhe...
TAARIFA KWA UMMA
Uongozi wa Jambo TV unakanusha kwa nguvu zote taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha picha yenye nembo ya Jambo TV na kichwa cha habari kisemacho “REDBRIGEDI WA CHADEMA AJIFANYA...
Mkoa fulani umeachia majina ya watakaosimamia Uchaguzi Mkuu 2025.
Wengi wao ni walimu. Watafanya interview kuanzia week inayoanza jumatatu.
Oktoba imeanza kuchangamka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu...
Napenda kutoa Rai kwa heshima na Taadhima kwa Watanzania. Tumuunge mkono Kapten Tesha. Natamani haraka sana nije Tanzania. Natamani sana. Nimemsikiliza machozi yamenitoka.
Huyu Kapten anajua...
26 May 2025
Dar es Salaam, Tanzania
MAHOJIANO EXCLUSIVE JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA #POWER TALK
Rais wa zamani Thabo Mbeki kuhusu Masuala ya Afrika ya Zamani, ya Sasa na ya Baadaye akiwa na...
" Chama hiki kimejikita katika kusukuma ajenda za maendeleo, kwaiyo akitokea mtu akasema hakuna kilichofanyika unabaki unamuangalia" amesema Kihongosi
Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza, Prof. Arthur Peter Mutharika wa Chama cha DPP, Rais Mteule wa Jamhuri ya Malawi, kwa ushindi wake katika uchaguzi...
Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.