Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Haihitaji Elimu ya Dini kulitambua hili, haihitaji uoteshwe ndoto kulifahamu hili. Kwa hakika Pasipo shaka wala wasiwasi wala kigugumizi wala simile wala hofu ni dhahiri...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amewahimiza wananchi kutoka Oktoba 29, 2025 kwenda kupiga kura, pia ametoa onyo kwa wale wanaodai kuandamana siku hiyo kuwa watashughulikiwa akisisitiza...
2 Reactions
24 Replies
691 Views
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Kamishna Mstaafu wa Uhifadhi, William Simon Mwakilema amewahimiza Wananchi wa Wilaya ya Korogwe na Wananchi wa maeneo mengine waliojiandikisha kupiga kura...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Video zinajielezea, sina maneno mengi Ya kwanza - Jerry Muro akiwa na madaraka Ya Pili - Jerry Muro akiwa Raia wa kawaida V/S
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Poleni na kifo ila mimi sijalia. Nalia na ndugu wa Ali kibao, nalia na ndugu wa Mdude, nalia na wamama hospitali wanapambania afya zao na za watoto wao, nalia na watanzania wanapambana usiku na...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Kumbukizi moja nzuri sana kutoka kwa JPM wakati akizungumza kwenye moja ya mkutano wa CCM pale Dodoma Na hii inatuonyesha CCM ya sasa ilivyo honga wananchi Baiskeli na hizo pikipiki ili...
2 Reactions
2 Replies
227 Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wakazi wa Kanda ya Kaskazini kuwa Mkoa wa Arusha utapewa kipaumbele...
0 Reactions
2 Replies
221 Views
Uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Fuoni, Zanzibar na Udiwani katika Kata ya Chamwino mkoani Morogoro na Kata ya Mbagala Kuu mkoani Dar es Salaam utafanyika siku ya Jumanne Desemba 30, 2025. Tume...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Askofu wa Jimbo Katoliki la Mahenge, Mhashamu Agapiti Ndorobo amesema kuwa kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ni vyema kuchagua Kiongozi anayefaa, na anayejali kila mmoja bila kuangalia...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeahidi kufuta leseni za wavuvi endapo wananchi watawachagua wagombea ubunge na udiwani kutoka katika chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu...
0 Reactions
2 Replies
208 Views
  • Featured
Nabii Mkuu wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dkt. Geordavie ametoa mchango wa shilingi Milioni 50 za Kitanzania kwa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha kwaajili ya kuwezesha Kampeni za Mgombea Urais wa...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kiongozi mkubwa kama huyu badala asimame mbele za wananchi na kueleza anawezaje kuboresha maisha ya watanzania anaanza kujisifia kuwa pesa zote wanazotumia watanzania zina saini yake. Sasa hiyo...
1 Reactions
9 Replies
411 Views
Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu. Wanaishi maisha kifahari,wanaiba...
2 Reactions
4 Replies
242 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Viktoria kupitia kwa Katibu wake Zacharia Obadi kimedai kuwa Makamu Mwenyekiti wake wa Kanda Khalid S. Hussein amekamatwa na Jeshi la Polisi...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
Wananchi kutesti mitambo kidogo jana kwenye mwendokasi! Samia kaone hee hali isiwe mbaya sana akafanya maamuzi ya kutengua viongozi waliopo na kuwateuwa wapya. Lakini kufanya hivi ndio kufanya...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
1. Pamoja na kwamba uchaguzi wetu umekuwa haramu siku zote ila kuandamana Kwa wakati huu inaweza leta matatizo makubwa. A. Nguvu itatumika kubwa kuyazima hivyo kupelekea watu kuumizwa sana. B...
2 Reactions
10 Replies
374 Views
Watanzania ifahamike ya kwamba kuandama barabarani kwa lengo la kutaka mabadiliko ni halali kwa mtanzania na imehalalishwa na katiba yetu na inaeleza kabisa kuwa jeshi la polisi litatakiwa kutoa...
2 Reactions
2 Replies
292 Views
GT Jionee mwenyewe mbogamboga wanalazimisha tu mambo hali ni mbaya sana.
2 Reactions
1 Replies
292 Views
Wakili Onesmo Olengurumwa, Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), amesema kuwa msingi wa kulinda amani ya nchi upo katika kujenga na kuimarisha misingi ya...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Back
Top Bottom