Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha NRA, Khamis Faki, amesema endapo wananchi watampa ridhaa ya kuongoza Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, Serikali yake itaweka sheria...
2 Reactions
4 Replies
270 Views
Atakayekwenda kupiga kura Oct 29 namuita MPU*MBAVU. Kura haibadili chochote katika uchaguzi wa mwaka huu. Kama hazibadili chochote maana yake hazihitajiki. Sasa mtu anakwenda kupiga kura kwa...
21 Reactions
33 Replies
1K Views
Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana. Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla. Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea...
43 Reactions
229 Replies
8K Views
Wakuu, Wananchi mmeoana vile nguvu yenu inayoweza kufanya! Kidogo tu wametema bungo, Murilo anaongea kistaarabu kama anaongea na wananchi wa Tanzania😂🤣🤣. Raia hawakuogopa kitu jana, polisi hata...
11 Reactions
54 Replies
2K Views
Wakuu habari. Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?. #kazi ipo
14 Reactions
79 Replies
2K Views
Jana 19.09.2025 kulikuwa na kampeni za Urais mjini Sumbawanga. Mgombea Urais kwa tiketi ya NCCR MAGEUZI Bw. Ambari Khamis akiambatana na Mgombea mwenza wake Dr Evelyna walitarajwa kufanya kampeni...
14 Reactions
27 Replies
1K Views
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi...
3 Reactions
116 Replies
5K Views
Huyu hapa Hivi wanaohamia CCM huwa wananyofolewa kitu gani hadi wanapumbazika kiasi hiki?
12 Reactions
22 Replies
2K Views
Nyinyi WATIAMA, Niambieni Baada ya Hayati Magufuli Kufa, kitu gani Samia kawafanyia?. Barabara ni Magufuli. Hospital ni Magufuli. Ujenzi wa Chuo Kikuu ni Magufuli. Magufuli angalau alijitajidi...
4 Reactions
10 Replies
388 Views
Ndugu zangu Watanzania, Haihitaji Elimu ya Dini kulitambua hili, haihitaji uoteshwe ndoto kulifahamu hili. Kwa hakika Pasipo shaka wala wasiwasi wala kigugumizi wala simile wala hofu ni dhahiri...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amewahimiza wananchi kutoka Oktoba 29, 2025 kwenda kupiga kura, pia ametoa onyo kwa wale wanaodai kuandamana siku hiyo kuwa watashughulikiwa akisisitiza...
2 Reactions
24 Replies
691 Views
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Kamishna Mstaafu wa Uhifadhi, William Simon Mwakilema amewahimiza Wananchi wa Wilaya ya Korogwe na Wananchi wa maeneo mengine waliojiandikisha kupiga kura...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Video zinajielezea, sina maneno mengi Ya kwanza - Jerry Muro akiwa na madaraka Ya Pili - Jerry Muro akiwa Raia wa kawaida V/S
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Poleni na kifo ila mimi sijalia. Nalia na ndugu wa Ali kibao, nalia na ndugu wa Mdude, nalia na wamama hospitali wanapambania afya zao na za watoto wao, nalia na watanzania wanapambana usiku na...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Kumbukizi moja nzuri sana kutoka kwa JPM wakati akizungumza kwenye moja ya mkutano wa CCM pale Dodoma Na hii inatuonyesha CCM ya sasa ilivyo honga wananchi Baiskeli na hizo pikipiki ili...
2 Reactions
2 Replies
227 Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wakazi wa Kanda ya Kaskazini kuwa Mkoa wa Arusha utapewa kipaumbele...
0 Reactions
2 Replies
221 Views
Uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Fuoni, Zanzibar na Udiwani katika Kata ya Chamwino mkoani Morogoro na Kata ya Mbagala Kuu mkoani Dar es Salaam utafanyika siku ya Jumanne Desemba 30, 2025. Tume...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Askofu wa Jimbo Katoliki la Mahenge, Mhashamu Agapiti Ndorobo amesema kuwa kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ni vyema kuchagua Kiongozi anayefaa, na anayejali kila mmoja bila kuangalia...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeahidi kufuta leseni za wavuvi endapo wananchi watawachagua wagombea ubunge na udiwani kutoka katika chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu...
0 Reactions
2 Replies
208 Views
Back
Top Bottom