Baada ya Captain Tesha kuzungumza aliyozungumza, nikaamua kwa ridhaa yangu kuchukua maoni ya wananchi vijiweni.
Maswali nilitokuwa nikiwauliza ni ya kawaida kabisa. Ungependa jeshi wachukue nchi...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 08, 2025 amempokea na Kumkaribisha...
Baada ya kumteka wanahangaika kudukua accounts zake za mitandao ya kijamii kwa kutumia device zao kwa kusaidiwa na wachina (tunawajua hao wachina na tutawaripoti wanyongwe na serikali yao na...
Kutokana na kifo cha aliyekuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Daudi Ntuyehabi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesitisha shughuli za...
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakali, ameahidi kuchimba kisima cha maji kwa fedha binafsi katika kijiji cha Katete, kata ya Ilagala, pamoja na kuboresha huduma za afya...
Watoto hawa wa ndege walioachwa kwenye viota vyao—wanangoja wazazi wao waje na kuwaletea chakula. Lakini Kwa bahati mbaya, wazazi hawakurudi, waliuawa.
Kumbuka, kila wakati unapotofautiana au...
Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge mstaafu Dkt. Bashiru Ali Kakurwa amewatoa hofu Vijana na Watanzania kwa ujumla, akiwaeleza kuwa Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu...
Paul Makonda akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 08 Oktoba, 2025, Mkoa wa Mwanza amesema, "Nimekuja kuwauliza, Kosa la Dkt Samia ni lipi mpaka usinyanyuke kwenda kupiga kura siku ya tarehe 29?!"
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda amesema kuwa kikundi kilichokuwa kinamtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Maguli wakati...
Sheria hii ilitumika kuufungia mtandao wa JamiiForums pamoja na vyombo vingi sana vya habari, Sababu kuu ikitajwa kuwa ni kuandika na kurusha habari bila kuzingatia mzani na kufanya utafiti...
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema uamuzi wa Serikali kutoa hati za mashamba ya karafuu kwa wananchi ni sehemu ya mkakati maalum wa kuhakikisha zao hilo linaendelea kuwa nguzo kuu...
Hiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba.
Yawezekana ndio maana hata...
Mbunge mteule wa Viti Maalumu kupitia kundi la Vijana, Ng’asi Damas Kamani, amempongeza Mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua kubwa alizochukua katika...
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam imepanga Oktoba 9, 2025 kusikiliza maombi ya Wakili Peter Kibatala juu ya madai ya kutekwa kwa Mwanasiasa Humphrey Polepole.
Wakili...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limesema linafanya uchunguzi tukio la kuuawa kwa Daud Mtuyehabi, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Jimbo la Siha.
Tukio la kujichukulia...
Kiasili najua Mashabiki wa Simba ni Waoga na wameshazoea Kupelekeshwa na Mbabe Yanga na najiuliza tu huu Ujasiri wa Shabiki mmoja wa Simba aliyeko ng'ambo kututaka Mashabiki wa Simba tuigomee...
Ukweli usiopingika nikua Raisi aliepita Mh Dr Jakaya Kikwete alikuwa rais bora na mwenye malengo yenye tija kwa taifa zaidi ya rais alieshika hatamu Dr John Magufuli ambaye amekua mwiba kwa...
Heshima uliyojijengea miaka 85 ya umri wako umeiharibu ndaninya dakila 10 za press yako.
Ulaaniwe milele na Nyerere akupige kofi huko aliko.
Nyote semeni AMEN.