Kiwake, kisiwake?

Kiwake, kisiwake?

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,409
Reaction score
17,862
Baada ya Captain Tesha kuzungumza aliyozungumza, nikaamua kwa ridhaa yangu kuchukua maoni ya wananchi vijiweni.
Maswali nilitokuwa nikiwauliza ni ya kawaida kabisa. Ungependa jeshi wachukue nchi, au unapenda hali hii iendelee?
Wengi wa watu niliowauliza kwenye vijiwe vingi walisema wanapenda kiwake. swali lilikuwa kiwake au kisiwake? 97% ya watu nilioongea nao walisema bora kiwake tu.
Nawauliza na ninyi wanajf, kiwake au kisiwake?
 
Back
Top Bottom