Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Akama Shaaban amemkabidhi gari mpya aina ya Toyota Hilux Double Cabin Mkuu wa Polisi Wilaya ya Ileje kwa ajili ya kuzuia...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Jamaa yupo yupo tu. Kasema msimshauri kuhusu maisha hana malengo
20 Reactions
113 Replies
6K Views
Nilishindwa kumfuatilia YouTube na Zoom ambazo ndiyo applications alizokuwa ame share. Finally nikampata Facebook. Kulikuwa wasikilizaji 9,000+. Nimesikiliza hadi aliporuhusu maswali kwenye swali...
12 Reactions
99 Replies
6K Views
Hata tabia moja mzuri, moja , yaaani moja tu, kashindwa! Yeye kachagua tabia zote mbovu za viongozi waliomtangulia alafu kaziboresha zaidi. Ni wizi wa kiwango cha juu. Ni utekaji wa kiwango cha...
18 Reactions
39 Replies
1K Views
Kwa miaka na miaka umekuwa ukitumia neno "uzalendo" katika muktadha wa kumaanisha mtu aliyetayari kumtetea kiongozi au raisi (hasahasa UOVU wake: wizi, ufisadi, utekaji n.k) na sio nchi yake...
12 Reactions
16 Replies
494 Views
Katika jambo moja nitamsifu siku zote ni kuhakikisha alikuwa anadocument kila kitu alichopitia na kuwataja wahusika waliyo nyuma ya hayo matukio yote. Kuna mara nyingine alishare kupitia...
3 Reactions
10 Replies
430 Views
Moja la jambo kubwa sana tunakwenda kulifanya kwa mustabali wa nchi yetu
1 Reactions
10 Replies
364 Views
Heshima kweni kwa kuwa hamkuwakatia tamaa waTanzania na hiki kizazi. Sasa tunakwenda kupata viongozi wanaoeleweka sio chawa chawa.
1 Reactions
4 Replies
299 Views
Mgombea Ubunge wa Mtumba mkoani Dodoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuhakikisha wanampigia kura, mgombea urais kupitia chama hicho, Samia...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Wakuu hii imekaaje? Yani, how comes kwenye nchi nyingi ambazo yamefanyika mapinduzi ya kijeshi,wafanya mapinduzi huwa ni junior officers yani luteni kanali kushuka chini. Hawa senior officers...
9 Reactions
22 Replies
850 Views
Samia yupo wapi na yu Hali gani? Kampeni zimesitishwa? Hakuna uchaguzi mwaka huu Bila reform tuliwaambia mkashupaza shingo Tuendelee kuwepo!!
14 Reactions
77 Replies
4K Views
Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wamesema wako tayari kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, wakijitenga na ushawishi wa mitandaoni unaotaka kuwapotosha kwa maandamano au...
-1 Reactions
17 Replies
830 Views
Baadhi ya Online media zimeandika taarifa ambayo ikieleza kauli alizozungumza anayetajwa kuwa ni Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikieleza Nchi ya Tanzania ikiwa imefikia pabaya...
3 Reactions
56 Replies
3K Views
Katibu wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) jimbo la Lupembe, Abedinego Sunday Sanga, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana akiwa katika duka lake la madawa eneo la...
3 Reactions
9 Replies
372 Views
Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu inaendelea leo Oktoba 6 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Akiwa mahakamani, Lissu amehoji kitendo cha tarehe ya hukumu kuwepo...
4 Reactions
12 Replies
807 Views
Zingatia: "Hoja hizo zinatolewa na watu waliopo mazingira ya kijeshi" Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linautaarifu umma wa Watanzania kuwa...
10 Reactions
259 Replies
13K Views
Tumefikaje hapo raia kupenda mapinduzi au kufurahia habari ambazo sio nzuri kwa serikali na CCM kwa Ujumla wananchi wamekua ni watu wa kuiombea mabaya serikali. Hii ni mbaya sana sehemu ambayo...
2 Reactions
20 Replies
663 Views
Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora. 1...
2 Reactions
6 Replies
376 Views
Kikosi cha Nane cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TANBAT 08) kinachoshiriki katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kimetunukiwa Nishani za Ulinzi wa...
0 Reactions
2 Replies
236 Views
Mgombea ubunge wa Mtumba mkoani Dodoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, ameahidi kuboresha sekta ya elimu kwa kuanzisha mpango wa kufuta michango kwa wazazi kuchangia mitihani...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Back
Top Bottom