Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

GT Ulafi wa madaraka hujawahi kumwacha mtu salama japo kwa sasa samia naye anajilmbikizia mali ipo siku atakuja kulia peke yake. Kumsikiliza kikwete lilikuwa ni jambo na uamuzi wa hovyo sana...
8 Reactions
16 Replies
708 Views
Ndg watanzania, mtanzania mwenzetu ambaye alitekwa jana ameshaafikisha takriban masaa 27 tangu tulipopata taarifa hapo jana saa 3 asubuhi sawa na dakika 1,620, sekunde 97,200, mamalaka zipo kimya...
1 Reactions
2 Replies
256 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kanda ya Ziwa inakwenda kusimama,kanda ya ziwa inakwenda kuweka rekodi ,kanda ya ziwa inakwenda Kulipuka kwa shangwe, nderemo na vifijo katika Mapokezi mazito ,ya...
2 Reactions
25 Replies
919 Views
Yani hii mizee ni helpess na hopeless kupindukia tangu ujana wao. Enzi zao za ujana walishindwa kutuvusha. Badala kabla wafe angalau wabadilike waungame wamebakia kuwa masinitch, wambea na...
6 Reactions
13 Replies
459 Views
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi amekabidhi Boti ya kisasa ya kuwabebea wagonjwa kwa wakazi wa Kisiwa cha Kojani kilichopo...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki kupitia CCM, Mwigulu Nchemba kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ameandika: "Wananchi wako tayari kumimina kura za kutosha kwa Wagombea wa CCM...
0 Reactions
3 Replies
191 Views
Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili 1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili 2. Kuwa...
49 Reactions
107 Replies
5K Views
Bado nawaza Rais wa nchi yeyote anawezaje kuongoza Taifa ambalo jeshi limegawanyika? Yaani watu unategemea walinde mipaka halafu wanakuwa wamegawanyika!! Unawezaje kutoboa? Kawati huo huo...
3 Reactions
9 Replies
422 Views
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia" === Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa...
17 Reactions
171 Replies
8K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu, amewataka viongozi wanawake chipukizi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika kuchukua hatua madhubuti...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Vyombo vya habari tangu jana vimeripoti aliyekuwa balozi nchini CUBA hampfrey polepole kutekwa na kupelekwa. kusipojulikana na shuhuda mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina la augustino polepole...
3 Reactions
8 Replies
586 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekanusha taarifa zinazodai kuwa mfumo wa uchaguzi unaotumika na Tume hiyo umeunganishwa na mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na chama cha...
1 Reactions
50 Replies
3K Views
Kwani ile Mikutano ya CCM huwa haitoshi Mgombea wao kujieleza Kuomba Kura kwa Wananchi, au ndo wanajishtukia kuwa sera zao hazina mvuto na ni za uongo Arusha ndo hata hawaelewi Mgommbea wao yupo...
0 Reactions
2 Replies
202 Views
Ni swali ninalo jiuliza kwa kiasi cha kutosha haja jamii imeamka na imefahamu ukweli na lipi ni lipi na na wakina nani wanahusika. Tumeseme wameweza kuwanyamazisha wote wanaoweza kuongea, vipi...
0 Reactions
3 Replies
213 Views
Mimi Ni kijana wa miaka 30 na Ni baba wa mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka 4 Tarehe 29 nitatoka kuandamana na kisu changu Cha kimasai na elementi kichwani Nawaambia ndugu na marafiki wa karibu...
3 Reactions
0 Replies
309 Views
Kanda ya ziwa bado safari ni ndefu, sijui wamepatwa na nini Wananchi wa Buhongwa Wilayani Nyamagana Mkoani Mwanza wakiwa wamejitokeza kwa wingi pembezoni mwa barabara, tayari kwaajili ya...
1 Reactions
3 Replies
316 Views
Augustino Polepole, ambaye ni kaka yake Humphrey Polepole, amethibitisha kuwa ndugu yake ametekwa na kumtaja afisa wa polisi aitwaye Mafwele, ZCO wa Jeshi la Polisi Tanzania, kuwa anahusishwa na...
10 Reactions
117 Replies
7K Views
Unateka unajipa kibali cha kuua watu mliopishana mtazamo una funga watu Magereza bila sababu hiyo yote ufurahishe nafasi yako huku uki umiza familia za watu kwa mchozi kuodokewa na wapendwa wao...
5 Reactions
17 Replies
462 Views
Wakati wa Chuma, tukilalamikia vitendo vya utekaji na the so called “Task Force” kupoteza watu (Kina Ben Saanane etc), kesi za ajabu ajabu (kina Kabendera, Maxence, Eyakuze etc) Wambura alikuwa...
5 Reactions
6 Replies
674 Views
Nchini Libya mwaka 1969, Muammar Gaddafi alimwondoa Mfalme Idris I madarakani. Wakati wa mapinduzi hayo, Gaddafi alikuwa na cheo cha Kanali wa Jeshi la Libya. Pili, Liberia ilishuhudia mapinduzi...
6 Reactions
26 Replies
870 Views
Back
Top Bottom