Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa sio siri tena, watanzania tumechoshwa na uonguzi uliokebehi uonevu, ufisadi na an oppressive one. Mungu isaidie tanzania. Mungu tuongoze. Revolution is a process, itachukua muda ila ikianza...
4 Reactions
5 Replies
430 Views
Viongozi wa dini mkoani Geita wamekemea vikali viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu kwa kuwataka watanzania kuendelea kuwapuuza baadhi ya watu wanaohamasisha vurugu kupitia...
0 Reactions
5 Replies
247 Views
Zaidi ya wachimbaji wadogo 500 wa dhahabu kutoka kitongoji cha Mapele A, kijiji cha Mwaoga Mamlaka ya Mji Mdogo Makongolosi wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wameandamana na kisha kufunga barabara...
1 Reactions
2 Replies
287 Views
"...usisahau kumrudia Mwenyezi Mungu, usisahau kuishi Maisha mema na ya maadili mazuri na hichi ndicho tunachotegemea kwa yeyote ambaye amepitia Seminari..." amesema Askofu wa Jimbo Katoliki la...
5 Reactions
15 Replies
609 Views
Wanabodi, Mwanzo nilimnote huyu Mjumbe wa Tume ya Warioba kwa kuvaa kama Nyerere!, kisha nikanote ana umbo kama la Nyerere!, leo nimemsikiliza anaongea live on Channel mpaka saa hii, anaongea...
7 Reactions
25 Replies
5K Views
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiwani (CCM) Hemed Suleiman Abdulla amewaonya wanaomfuatafuata jimboni kwake kwenda kuwashawishi wananchi wake wakatae maendeleo ikiwemo magorofa. Hemed ametoa onyo...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Wakuu Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu, amemkosoa vikali Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa kile alichokiita kupuuzia mauaji yanayoendelea...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Aiseeeeee..... Hii nchi. Hatari sana. Mi nitakuwepo kwa siku 5 kabla sijaondoka kurudi huko Duniani. Suala la Mdude Nyagali ndo lishaisha sasa?
1 Reactions
8 Replies
445 Views
Kila alichotabiri Lema kimetoke Kwa 98% accurately nakumbuka aliwaonya CCM, Lissu alipopigwa risasi Lema alisema. Mkitumaliza sisi mtaanza kulana wenyewe Kwa wenyewe Sasa Leo yametimia.
7 Reactions
11 Replies
607 Views
  • Featured
Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa kampuni ya UDART (mwendokasi) ilianza ikiwa na mabasi 140 lakini hadi kufikia hiyo juzi yalibakia mabasi 30!!! Yaani wameshindwa kutengeneza mabasi zaidi ya 110...
29 Reactions
74 Replies
4K Views
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je...
13 Reactions
160 Replies
9K Views
Wanabodi Nimemsikiliza HP mwanzo mwisho, hoja zake ni za ukweli na za msingi sana kuhusu kiini macho cha uchauzi wa Tanzania. Ushauri wake watu wasijitokeze kupiga kura mpaka kwanza upatikane...
10 Reactions
149 Replies
8K Views
Wakuu, Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar. Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Katibu wa Taasisi ya Dini ya Kiislamu ya TWARIQA Qadiria Jaylania Arrasziqia Tanzania, Shekhe Haruna Hussein, amekanusha na kupinga vikali video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha kana kwamba...
0 Reactions
4 Replies
338 Views
Kikwete yuko kimya. Rostam yuko kimya! Samia kadhalika. Tunajua. Hawa ndiyo waliokamata na kuikamua nchi mbali na kuielekeza pabaya. Chama chao, kimya. Serikali, yao! Kunani? Kwanini mtufanya...
0 Reactions
3 Replies
254 Views
Kwa haya yanayoendelea hasa huko jeshini, CCM imepoteza kujiamini kwake Kwa asilimia kubwa sana. Hawawezi tena kuwakoromea wananchi kibabe. Maana jeshi limeshaonyesha halipo na CCM ila lipo...
0 Reactions
7 Replies
193 Views
Mgombea ubunge wa Mtumba mkoani Dodoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, amesema atasimamia kuvunjwa soko la Sabasaba na kujengwa upya, akisisitiza kuwa hatua hiyo inalenga...
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumatatu Oktoba 06.2025 kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Yaani watu waone kabisa nchi yao inaibiwa na hakuna wakuitetea kabisa, watulie tu, eti kwasababu watatekwa na kupewa kesi. Yaani nione watu wanauliwa na kutekwa na hakuna wakuwatetea, mimi...
5 Reactions
15 Replies
548 Views
Kwanza nianze Kwa kuwapa pole waungwana, Kwa mazito mnayopitia, niwaondoe wasiwasi bado muda ni mchache, na mambo yatakaa sawa Nikiri ni wazi kuwa nimeiona dhamira na malengo yenu katika...
1 Reactions
0 Replies
149 Views
Back
Top Bottom