Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Muungano uliotengeneza nchi ya Tanzania ni muungano unaochanganya sana, hauleweki na pia wenye changamoto nyingi sana kwa pande zote mbili. Muungano wetu unaweza kurekebishwa kwa kuiga mfumo wa...
12 Reactions
47 Replies
1K Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Ni makala ya pongezi kwa INEC kuanza kusawazisha uwanja tenge wa uchaguzi kwa wagombea 17 wa urais kwa kuwawezesha angalau angalau kufanania...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Salaam, Shalom! Naongea lugha ya kiroho. Wanaume wote wana tumbo la uzazi kama ilivyo kwa wanawake na ndani yao kuna watoto wa kiume na kike, mfumo wa uzazi wa Mwanaume umetunzwa ndani ya...
25 Reactions
155 Replies
5K Views
Salaam... Soma hapa Tetesi: - CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29 Huu msiba ni kivuli tu mpango wa mwanzo ulikua itumike njia ya mtandao kuanzia tarehe 17/10/2025 na sio...
0 Reactions
15 Replies
615 Views
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 16, 2025 Jana tuliishia part 105 so leo tunaendelea na-; Part 106 Muda huu ni saa tatu asubuhi. Tumefika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Za usiku mnene Nimekuja na wazo kama itafaa makanda wa mikoa yote waendeshe zoezi hata la siku 5 kuwapa mafunzo vijana tulio tayari kulinda amani ya nchi yetu Hii itaongeza nguvu zaidi dhidi ya...
2 Reactions
15 Replies
512 Views
Chama Cha Makini kimetoa rai kwa Watanzania kutoshabikia au kushiriki maandamano yanayohamasishwa kufanyika siku ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, na badala yake wajitokeze kwa wingi kupiga kura...
1 Reactions
5 Replies
172 Views
Askofu Jude Thadeus Ruwa'ichi akizungumza leo Oktoba 14, 2025 katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam...
3 Reactions
18 Replies
703 Views
Wafanya Biashara Kariakoo Wamemsifu Mgombea wa Urais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Kufuta Tozo Zipatazo 384 Ambazo Hapo Awali Zilikuwa ni Kero Kubwa. "Sisi kama Jumuiya ya wafanyabiashara wa...
3 Reactions
15 Replies
426 Views
Mimi si kipofu wala si kiziwi. Uwezo wangu wa kuona na kusikia upo juu. Hivi hiki ninachokiona kwa macho yangu na kukisikia kwa masikio yangu ni uongo? Nina maruerue labda? Hayo ninayoyaona ni...
142 Reactions
590 Replies
45K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Sikuwahi kuelewa kwanini wakati mwingine mtu anapokuwa na mawazo au ametatizika kimawazo anaanza kujikuna nywele. Au mtu anakuuliza jambo halafu hauna jibu unaanza kujishika...
25 Reactions
58 Replies
4K Views
Mwalimu Nyerere wakati anabadilisha jina la jeshi kutoka East Africa Rifles na kuwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, alisema kuwa jeshi hili ni Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Jukumu lake la msingi...
2 Reactions
15 Replies
626 Views
Kumbe kura aziibiwi? Naendelea kuaamini kuna vyama vingine ni matawi ya halali kabisa ya CCM ================== Mgombea Urais wa Tanzania kupitia United People’s Democratic Party (UPDP), Twalib...
1 Reactions
3 Replies
137 Views
Innocent Bashungwa Mgombea ubunge jimbo la Karagwe kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika...... "Rugera - Karagwe Upendo wa Wanakaragwe ni wa kipekee, kila ninapokutana na mwananchi mmoja...
0 Reactions
4 Replies
240 Views
  • Poll Poll
=== Wakati zikiwa zimesalia siku kadhaa kwa chama kikuu Cha Upinzani nchini Tanzania CHADEMA kuwapata Viongozi wake mbalimbali wa ngazi ya Taifa. Kwa mujibu wa kalenda ya Chama kabla ya Uchaguzi...
6 Reactions
91 Replies
6K Views
Hawa siyo watu. Siyo watu kabisa. TAKE CARE PLEASE
1 Reactions
9 Replies
432 Views
Shirikisho la madereva pikipiki wa mkoa wa Dar es salaam(SHIVYAMAPIDA)wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari wametambulisha kampeni yao mahsusi kuhamasisha wananchi wa mkoa wa Dar es salaam...
3 Reactions
9 Replies
348 Views
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema iwapo atachaguliwa kuingia madarakani atapiga marufuku kampuni zote zinazowaingiza wananchi kwenye mikopo ya...
0 Reactions
1 Replies
180 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Ester Bulaya ameendelea kampeni za Mtaa kwa Mtaa akiomba kura Jimboni humo ambapo leo Mtaa wa Kiwasi Kata ya Waliku akivamia kata hiyo kwa Boda boda.
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Kabla haujasoma ninachotaka kusema, embu tuelewane kidogo. Sijawahi kuisifia wala kuitetea CCM na serikali zake. Siungi mkono vitendo vyovyote vya unyanyasaji, utekaji, mauaji na uminywaji wa haki...
12 Reactions
73 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…