Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiitazama hii video, Wanajeshi wetu wote hawana NDEVU!!. Ila huyu kwanza ana Ndevu ,alafu ni yeye pekeake aliyevaa kitofauti na wenzie . .
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Mimi ni miongoni mwa watu wa maono. Nimekwisha ona mbele kua maandamano yapo kweli,tofauti na watu wengi wanavyodhani. Watu wengi wanaishi kwa mazoea kudhani Watanzania ni waoga,la ha sha. Kila...
9 Reactions
17 Replies
747 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amewaagiza viongozi wa chama hicho wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara John Heche kuhakikisha wanashiriki kwenye ibada ya mazishi ya Waziri...
10 Reactions
17 Replies
817 Views
Ni mikoa ambayo imetulia sana, watu wake hawana taabu, wana utiifu wa hali ya juu na nidhamu 1. IRINGA - Tukio la mwisho kusikia huko ni la Mwamwindi, tangu hapo wahehe wamekuwa na adabu na...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kukuza ustawi wa jamii hiyo kwa kuwawezesha kushiriki...
1 Reactions
4 Replies
231 Views
Kamati ya Uongozi wa Chama cha ACT Wazalendo inatarajiwa kukaa kikao cha dharura usiku wa leo Oktoba 15, 2025 ili kujadili na kuamua ni namna gani wanachama wa chama hicho watapiga kura ya Urais...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
"....kachanganyikiwa!" "...hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku...
15 Reactions
80 Replies
6K Views
Anawajaza upepo? au atafanya kweli? Ila kwa upande mwingine sina mashaka naye sana katika utendaji wake na kujitoa kwa namna fulani kwa wananchi Tusubiri muda ufike tuone! ================...
2 Reactions
8 Replies
300 Views
Kesi ya jinai namba 24514 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake...
1 Reactions
4 Replies
367 Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kusimamia kukamilika kwa ujenzi wa tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
1 Reactions
2 Replies
249 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme, amefanya kikao cha ndani na wakazi wa Mjimwema ikiwa ni sehemu ya kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu...
1 Reactions
2 Replies
179 Views
Mgombea Ubunge wa Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa amesema kuandamana siku ya kupiga kura ni kosa kisheria maana huko ni kuzuia uchaguzi na pia jambo hilo litafanya kuwanyima wengine haki ya...
1 Reactions
6 Replies
318 Views
Chief Annex ameomba video hii imfikie Mkuu wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam. Amesema kwa sasa anapokea vitisho vya kutekwa na hata kuuawa, baada ya kuonekana akisifia Chama cha...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Vitisho vinaendelea ============== Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda...
1 Reactions
6 Replies
402 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kupitia Kamanda Oktoba 15, 2025 Jummane Muliro, ameeleza kuwa kila Mtanzania ana haki ya kupiga kura hivyo Oktoba 29 wajitokeze kwenda kupiga kura...
2 Reactions
7 Replies
359 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka Askari Polisi kuvaa mavazi rasmi (sare za Polisi) wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao ili kuepukana taharuki katika jamii, huku akigusia...
3 Reactions
11 Replies
879 Views
Mimi nilikuwa na miaka 11 tuu. We Je?
11 Reactions
117 Replies
3K Views
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa rais wa Kenya ,familia ya Odinga na wananchi wa Kenya kufuatia kifo cha waziri mkuu...
1 Reactions
1 Replies
303 Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, amesema kuwa Chama Chake Cha Zamani Kwa sasa ni kimebaki kama NGOs Wenje ameyasema hayo Leo...
2 Reactions
22 Replies
751 Views
Huyu jamaa alikuwa kinara wa kumpinga mwamba Magufuli na safari hii tena anampinga huyu bibi waliesema ni mama Yao kipindi Magufuli amefariki, leo hii Magufuli anaimbwa CHADEMA hawa watu wana...
3 Reactions
71 Replies
2K Views
Back
Top Bottom