Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni leo Oktoba 12, 2025, Runzewe, Mkoa wa Geita amesema; "Nchi inayoitwa JMT...
1 Reactions
60 Replies
1K Views
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam tayari msafara uliombeba Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu umefika kwenye viunga vya Mahakama hiyo, kwaajili ya kuendelea na...
2 Reactions
4 Replies
588 Views
Si walitulikubaliana haitakiwi kuchanganya siasa na dini, imekuaje tena Mchungaji anapiga kampeni kabisa? Mchungaji Zacharia Samsoni, baada ya kupewa nafasi ya kuombea katika mkutano wa kampeni...
2 Reactions
7 Replies
324 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema vyombo vya dola vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi wa Oktoba 29 unafanyika kwa hali ya utulivu, haki na amani huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa...
1 Reactions
5 Replies
326 Views
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Nchini (FEMATA), John Bina, amemwomba mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, kuchukua hatua dhidi ya watu wanaodaiwa...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anasema kumekuwa na michezo ya watu kujifanya wamepotea lakini baada ya uchunguzi wa mamlaka za usalama zinabaini hakuna ukweli ni michezo tu.
4 Reactions
22 Replies
708 Views
Yalianza kama masikhara ila sasa tuvumilie kuvuna matunda yake. Kuanguka kwa Tanzania ni suala lililochukua muda kidogo. Tuliopata nafasi ya kuonya, tulionya ili kulikomboa Taifa ila hakuna...
63 Reactions
144 Replies
7K Views
Mambo mengine ni kama Mungu kaamua kuwaumbua watesi wa Lissu hadharani. Leo katika hali ya kushangaza shahidi wa upande wa serikali baada ya kuulizwa je bwana Luhaga Mpina angeweza kupata Haki...
11 Reactions
21 Replies
1K Views
Hii si ndoto ila ndio uhasia ulivyo na kama mtu ataiona ni ndoto basi aifikirie Ile ndoto tamu sana ya kufurahisha ambayo inaacha kumbukumbu za furaha. Ninaamini baada ya 2030 tutakuja kusema...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu...
9 Reactions
100 Replies
4K Views
  • Featured
Wakuu, Watu wanne waliokuwa wanamiliki akaunti za mtandao wa Youtube za Wispoti TV, T.Media Two na Costa Tv wamekamatwa kwa madai ya kuendesha akaunti hizo bila ya kuwa na leseni. Akaunti hizo ni...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Leo bodaboda wamekiwasha Jangwani kwa kishindo! Ishara za wazi zinaonyesha kuwa hali ya wananchi imefika ukingoni. Watawala wanapaswa kufahamu kwamba wamekaa juu ya “ticking bomb” — mabavu na...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli. Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani...
70 Reactions
358 Replies
46K Views
Mwenyezi Mungu atangulie. Amani ya Bwana iwe nanyi, na rehema za Allah ziwe juu yenu nyote. Katika mahojiano ya moja kwa moja usiku wa leo, aliyekuwa mbunge na mwanasiasa machachari, Mhe...
13 Reactions
66 Replies
5K Views
Inasikitikisha kuona Humphrey Polepole katwaliwa kikatili vile kutoka kwetu. Kwani watesi wake hata kama wangemwomba tu atoke mwenyewe kwenye nyumba ile na kuongozana nao kokote walikotaka asinge...
7 Reactions
32 Replies
848 Views
Ukiitazama hii video, Wanajeshi wetu wote hawana NDEVU!!. Ila huyu kwanza ana Ndevu ,alafu ni yeye pekeake aliyevaa kitofauti na wenzie . .
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Mimi ni miongoni mwa watu wa maono. Nimekwisha ona mbele kua maandamano yapo kweli,tofauti na watu wengi wanavyodhani. Watu wengi wanaishi kwa mazoea kudhani Watanzania ni waoga,la ha sha. Kila...
9 Reactions
17 Replies
747 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amewaagiza viongozi wa chama hicho wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara John Heche kuhakikisha wanashiriki kwenye ibada ya mazishi ya Waziri...
10 Reactions
17 Replies
817 Views
Ni mikoa ambayo imetulia sana, watu wake hawana taabu, wana utiifu wa hali ya juu na nidhamu 1. IRINGA - Tukio la mwisho kusikia huko ni la Mwamwindi, tangu hapo wahehe wamekuwa na adabu na...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Back
Top Bottom