Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea wa Ubunge wa Nzega Mjini ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa Serikali kupitia Wizara yake haiwezi kukataa kuuza sukari nje ya Nchi Kwa sababu kuna baadhi ya watu...
0 Reactions
3 Replies
356 Views
Najua wengi wanafuatilia tukio chafu na la hovyo la kutekwa Humphrey Polepole mwanaCCM kindakindaki aliyeibuliwa na Magufuli. Hata hivyo, kuna mambo ya kujiuliza. Je, ni kweli kuwa Polepole...
4 Reactions
18 Replies
964 Views
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuleta Mradi mkubwa wa Big Z ambao utahusisha ujenzi wa maduka ya kisasa pamoja na uimarishaji...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Vijana wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Karagwe, wakiongozwa na Mwenyekiti wao Alexius Sylivester, wamefanya hamasa kubwa ya kumkaribisha Mgombea Urais wa CCM, Mhe...
2 Reactions
22 Replies
740 Views
Kama mnavyojua tumepata Msiba wa Afrika Mashariki. Mheshimiwa Raila Amolo Odinga. Je Nani anatuwakilisha huko? Atafutwe Mstaafu mmoja au wawili wakatuwakilishe huko Bondo.
0 Reactions
3 Replies
293 Views
Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, mwingi wa fadhila. Amani ya Bwana iwe pamoja nanyi wapendwa katika Kristo, Assalaam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh kwa ndugu zetu wa Kiislamu...
4 Reactions
8 Replies
673 Views
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho. Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi...
10 Reactions
51 Replies
3K Views
Kuibuka kwa Humphrey Polepole, Balozi, Mbunge mstaafu na Katibu mwenezi wa CCM mstaafu na kuikosoa serikali yake na uongozi unaoongoza serikali hiyo vikali sana katika wakati huu usiotarajiwa ni...
12 Reactions
18 Replies
875 Views
Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi! Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Mara tu ya Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 2025, Mawaziri wote pamoja na Spika walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge. Hii ya watu kukiita Spika, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu...
4 Reactions
10 Replies
466 Views
Kwa raisi kikwete walivuna ugonjwa wa mnyauko, Kwa rais Magufuli walivuna tetemeko la Ardhi wakaishia kuboreshewa shule na magereza? Kitoto Cha 2000 uwezi nielewa ngojea nirudie hivi! Kwa raisi...
2 Reactions
3 Replies
374 Views
Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
2 Reactions
30 Replies
765 Views
Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini Tanzania wametangaza kuwa mabalozi wa amani na usalama wa Tanzania wakati huu ambapo Taifa linajiandaa kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ili kila...
2 Reactions
3 Replies
251 Views
JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 1. Madikteta kwa kawaida hukamata taasisi zifuatazo za serikali, polisi, mahakama, jeshi, vyombo vya habari na tume ya uchaguzi n.k. hizi...
0 Reactions
1 Replies
209 Views
Ni baba wa taifa,wengine wanamwita mkombozi wa kweli barani afrika,wapo wanao mwona kama gwiji wa siasa za kipekee na zilizo simamia utu wa mweusi duniani kote,nasisi wachache tunamwita nabii...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Pasco wa JF, naomba jibu lako, Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, CCM siyo mama yangu, siku wakiiacha ile misingi tuliyoanzisha kwayo, nitaiacha -- JK Nyerere (Siku ya kumwaga Kawawa- Mungu...
20 Reactions
169 Replies
21K Views
Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je, hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini? Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini? Tujenge...
4 Reactions
49 Replies
950 Views
Ikiwa leo ni siku tunakumbuka kifo cha Baba wa Taifa hili hatuna budi kumuenzi kwa kuyafuata yale aliyokuwa akiyapigania 1. Kupambana na Rushwa na Ufisadi (Uhusani kwenye uchaguzi tuwakatae...
6 Reactions
86 Replies
21K Views
Jina la Madaraka Nyerere(pichani) sio geni miongoni mwa watanzania. Ukiachilia mbali ukweli kwamba yeye ni mtoto wa sita wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kitu ambacho...
7 Reactions
70 Replies
20K Views
Mwalimu Julius kambarage Nyerere Mimi ni #kijanamzalendo mwenye uchungu na taifa langu na serikali yangu ambae sijawahi kukushuhudia ukiwa madarakani Bali nilichokiwahi kukisikia kuhusu wewe juu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom