Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu...
Wakuu,
Watu wanne waliokuwa wanamiliki akaunti za mtandao wa Youtube za Wispoti TV, T.Media Two na Costa Tv wamekamatwa kwa madai ya kuendesha akaunti hizo bila ya kuwa na leseni. Akaunti hizo ni...
Leo bodaboda wamekiwasha Jangwani kwa kishindo! Ishara za wazi zinaonyesha kuwa hali ya wananchi imefika ukingoni. Watawala wanapaswa kufahamu kwamba wamekaa juu ya “ticking bomb” — mabavu na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani...
Mwenyezi Mungu atangulie. Amani ya Bwana iwe nanyi, na rehema za Allah ziwe juu yenu nyote.
Katika mahojiano ya moja kwa moja usiku wa leo, aliyekuwa mbunge na mwanasiasa machachari, Mhe...
Inasikitikisha kuona Humphrey Polepole katwaliwa kikatili vile kutoka kwetu. Kwani watesi wake hata kama wangemwomba tu atoke mwenyewe kwenye nyumba ile na kuongozana nao kokote walikotaka asinge...
Mimi ni miongoni mwa watu wa maono.
Nimekwisha ona mbele kua maandamano yapo kweli,tofauti na watu wengi wanavyodhani.
Watu wengi wanaishi kwa mazoea kudhani Watanzania ni waoga,la ha sha.
Kila...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amewaagiza viongozi wa chama hicho wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara John Heche kuhakikisha wanashiriki kwenye ibada ya mazishi ya Waziri...
Ni mikoa ambayo imetulia sana, watu wake hawana taabu, wana utiifu wa hali ya juu na nidhamu
1. IRINGA - Tukio la mwisho kusikia huko ni la Mwamwindi, tangu hapo wahehe wamekuwa na adabu na...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kukuza ustawi wa jamii hiyo kwa kuwawezesha kushiriki...
Kamati ya Uongozi wa Chama cha ACT Wazalendo inatarajiwa kukaa kikao cha dharura usiku wa leo Oktoba 15, 2025 ili kujadili na kuamua ni namna gani wanachama wa chama hicho watapiga kura ya Urais...
"....kachanganyikiwa!"
"...hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku...
Anawajaza upepo? au atafanya kweli? Ila kwa upande mwingine sina mashaka naye sana katika utendaji wake na kujitoa kwa namna fulani kwa wananchi
Tusubiri muda ufike tuone!
================...
Kesi ya jinai namba 24514 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kusimamia kukamilika kwa ujenzi wa tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme, amefanya kikao cha ndani na wakazi wa Mjimwema ikiwa ni sehemu ya kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu...
Mgombea Ubunge wa Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa amesema kuandamana siku ya kupiga kura ni kosa kisheria maana huko ni kuzuia uchaguzi na pia jambo hilo litafanya kuwanyima wengine haki ya...
Chief Annex ameomba video hii imfikie Mkuu wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Amesema kwa sasa anapokea vitisho vya kutekwa na hata kuuawa, baada ya kuonekana akisifia Chama cha...
Vitisho vinaendelea
==============
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.