Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo Februari 16, 2025, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam.
Shahidi wa saba anatarajiwa...
Mashahidi wote wanaongelea uchochezi /sedition na si UHAINI! SASA IF THAT IS THE CASE, KUNA KESI GANI HAPO YA KUMUWEKA LISU GEREZANI?
Sasa hao mashahidi 23 waliobaki wana nini cha zaidi maana...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Priscus Tarimo, ameibuka mshindi katika kura za maoni za chama hicho kwa kupata kura 1,539 kati ya kura halali 3,288...
Kwanza kabisa mnatakiwa kukubali kuwa hamkubaliki. Kwamba utawala huu wa CCM haukubaliki.
Kuna Mwalimu mmoja leo amenifuata na kuniuliza wewe si mwanaCCM? Mbona kila mnachofanya mbona wananchi...
Middle East & Africa | An unlikely journey
Don’t welcome Africa’s newest despot
Samia Suluhu Hassan has caused Tanzania’s most dangerous crisis since independence
Share
Illustration: Fede...
Wakuu,
Chama cha Madereva wa Malori kilitoa tamko ikiwa mwenzao hajapatikana ndani ya siku 2 kuanzia Jumapili wangefanya mgomo, hii ni baada ya mwenzao kudaiwa kuchukuliwa na watu...
Wakuu,
Katika zunguka zangu nikitafuta video ya kinachodaiwa kunaswa na Tanzania Daima (Ref Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010), nimefanikiwa kuipata video hii katika YouTube...
Leo hii tumefikia hatua ya kufanya mkutano na wanahabari ili kuwaeleza jinsi mlivyoshiriki kwenye mkutano wa AU
Eti tathmini ya ziara ya mkutano uliofanyika Ethiopia, kumbe alienda kufanya ziara...
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limetoa wito kwa Jeshi la Polisi nchini kuchunguza kwa haraka na kwa makini taarifa za kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey polepole
...
Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Patrick Ole Sosopi amehoji ukweli wa dhamira ya chama tawala nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu maridhiano...
My Take
Kimsingi hii jumuisha isambaratike tuu kama ilivyokuwa 1977 Kwa sababu Toka kuundwa kwake upya umeshindwa kutimiza malengo ya kuqnzishwa kwake hususani kuwa na soko huru la bidhaa pamoja...
Waziri Mkuu akiwa ziara Wilaya ya Same mkoa wa Kilimanjaro, ametatua kero ya mwanaume mmoja ambaye alijenga matundu ya vyoo 22 mwaka 2020 katika shule ya Sekondari Gonja, lakini mpaka leo 2026...
Wakuu,
Tundu akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam ambapo leo kesi ya uhaini inayomkabili itaendelea
Dada wa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kusikiliza...
Wakuu,
Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa na Mahakama hadi kesho Februari 19 saa tatu asubuhi.
Upande wa Serikali uliieleza...
Nilitegemea leo Lisu awe mkali kuleta shahidi mmoja.
Huyu aliyefiwa aachwe lakini walikubaliana angalau kwa siku walete mashahidi 3, sasa inakuwaje aje mmoja?
Yule amefiwa , wa tatu vipi?
Huyu boss kaacha ofisi anazunguka na waziri mkuu, hajataka kumwachia mtu majukumu kwa mda, anataka kote awe yeye
Huko alipo hafanyi kazi yoyote zaidi kukaa kwenye V8 na kutumia mafuta kwa kodi za...
Picha ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (ICC), Balozi Mahmoud Thabiti Kombo na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Mame Mandiaye Niang...