Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema: Leo nataka niwakere, uongozi unaanza kwenye...
6 Reactions
116 Replies
3K Views
Kosa mnalotaka kulifanya litawagharimu milele. Kimbilio la mwisho la Wananchi ni Jeshi lao na pale Wanasiasa wanapokengeuka Jeshi huwa ndo linasimama na Wananchi. Kosa kubwa mtakalofanya sasa ni...
18 Reactions
51 Replies
2K Views
Wanaosema mi5 tena wanamaanisha. Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia...
12 Reactions
95 Replies
4K Views
Tanzania kitendo cha kutoka kwenye nchi ambayo uchumi unakua kwa kasi. East Afrika Tanzania imetoka hamna GDP imeganda. Suala hili limekutana na uchaguzi watu wamepoa kwenye kulinda shilingi na...
1 Reactions
5 Replies
313 Views
MIMI NI MTOTO WA KADA WA CCM, KATI YA CCM NA CHADEMA KAMA NIKIAMUA LEO BILA UNAFIKI KUWA NA CHAMA NINAWEZA KUVUTWA ZAIDI KIHISIA NA CCM, ILA HILO HALINIFANYI MJINGA KUUNGANA NA CCM MTANDAO YA...
24 Reactions
39 Replies
1K Views
Hamjambo wanabodi! 1. Nilipewa siku tatu za kuandaa hoja nzito za kwa nini niendelee kutetea Haki mtandaoni na kuwapigania Watanzania. 2. Baada ya siku tatu kuisha. Niiwasilisha hoja zangu...
16 Reactions
173 Replies
4K Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi Bwa. Kailima Ramadhani amesema kwa muujibu wa sheria kifungu cha 129 cha sheria uchaguzi wa Rais, Ubunge na Madiwa Mtu ambaye kwa dhairi au kwa kificho yeye mwenyewe au...
2 Reactions
12 Replies
465 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Oktoba 29, 2025 yaweza kuwa siku itakayoamua mwelekeo wa demokrasia katika Tanzania. Siku hiyo inaweza kuamua yale yatakayoendelea kutokea katika nchi yetu kuanzia Oktoba 30...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Hii ni story ya Jinsi Wananchi wa Tarime Walivyomuokoa John Heche Mikoni mwa Polisi na kutokomea naye
2 Reactions
10 Replies
476 Views
Wanabodi, Niko hapa hoteli ya Willard Intercontinental Hotel mtaa wa Pennsylvania Ave NW Washington, D.C kuwaletea yatokanayo na hili kongamano kubwa la uwekezaji la Benki ya CRDB. Anzia hapa...
4 Reactions
8 Replies
399 Views
Mgombea Ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha ACT Sheikh Issa Ponda akielezea mchakato mzima wa usahili wa mawakala huku akisema kwenye zoezi hilo amefanikiwa kuweka mawakala wengi, licha...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Tunaenda kumaliza mwezi bila kujua Polepole yuko wapi mazingira gani. Kibinadamu hili ni Jambo la ovyo sana kama nchi sio jambo la kujivunia. Please huyu kijana kama ana makosa ni vyema...
10 Reactions
44 Replies
1K Views
"Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu hasa hapa Dar Es Salaam, Migogoro ya ardhi unakuta shamba la mtu huyu anapewa hati mtu mwingine...
2 Reactions
7 Replies
299 Views
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ametoa elimu ya namna ya kupiga kura kwa baadhi ya wananchi wa visiwani Zanzibar. Makonda ambaye amewasili visiwani...
1 Reactions
3 Replies
244 Views
Mgombea urais wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza nchi, kitaweka satelaiti angani ili kudhibiti uhalifu...
1 Reactions
4 Replies
204 Views
Inawezekana! Zimebaki siku 5 kuelekea siku ya Maandamano ya Kitaifa tarehe 29 Oktoba 2025. Jeshi la Polisi kwa kutumiwa na CCM limejiandaa kuwaua Watanzania waliopanga kutekeleza haki yao ya...
4 Reactions
39 Replies
1K Views
Samia anazidi kujipatia sifa mbaya kimataifa! Mcheki jamaa hapa akitoa maoni yake halafu ukiweza ingia kwenye sehemu ya maoni, ingia usome maoni ya wadau. This woman….what has become of her...
8 Reactions
9 Replies
434 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Makame, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, akisisitiza kuwa maamuzi yao ndiyo yatakayoweka msingi wa ndoto na hatma ya watoto wao walioko...
1 Reactions
14 Replies
469 Views
Kuna ndugu yangu ni chawa wa CCM(Jina Kapuni) Nilimfungia safari kuuliza kwanini anaunga mkono CCM na Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan ambaye Mdomo waake haukemei Mauaji wala hajali...
5 Reactions
14 Replies
468 Views
Jeshi la Tanzania haliwezi kuasi kwa sababu limejengwa juu ya msingi wa historia, umoja na falsafa ya kitaifa iliyopandikizwa tangu enzi za ukombozi. Wakati mataifa mengi ya Afrika yalirithi...
4 Reactions
69 Replies
2K Views
Back
Top Bottom