Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Historia inasema hakuna ukombozi ulioanzia mikoani katika nchi zote za ulimwengu. Mageuzi yote yanaanzia Makao Makuu ya nchi. AMINA
2 Reactions
5 Replies
349 Views
1. Vituo vya kura 2. Sheli za mafuta Leo naongelea eneo la pili, "Fire/Fuel is the key" Ndugu wa Tanzania ikitokea mko karibu na kituo cha mafuta na polisi wameamua kutumia nguvu nyingi...
9 Reactions
18 Replies
917 Views
Ndugu watanzania wenzangu sikutegemea kama zenji wana uchukia muundo wa muungano au muungano wenyewe hadi ninapofuatilia mjadala juu ya muswada huo kupitia TVZ. Sitta anapata wakati mgumu sana...
0 Reactions
224 Replies
22K Views
Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!” Tanzania iko katika kipindi hicho sasa: Kwa zaidi ya nusu karne, Chama...
1 Reactions
0 Replies
206 Views
Tanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ). Ndugu! Rocket 🚀 haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya...
12 Reactions
16 Replies
602 Views
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu imehairishwa leo, Ijumaa Oktoba 24.2025 hadi Novemba 03.2025...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Kuna mambo ukiyasikia nchi hii yanaumiza sana ,hii nguvu yote hii na ufujaji wote huu kuna nini hasa ikulu kinacho ng'ang'aniwa Makadirio wasimamizi wa uchaguzi ni 67,000 maana kila kituo kina...
3 Reactions
4 Replies
329 Views
Ujumbe wa Mwenyekiti Tundu Lissu (Sehemu ya Kwanza) “Ndugu zangu, Kwa wiki kadhaa sasa nimewekwa kwenye total isolation — upweke wa kulazimishwa. Wale wafungwa wenzangu waliokuwa nami kwenye...
17 Reactions
50 Replies
2K Views
Wanabodi, Nilikuwa napitia list ya wanawake 10 majabali Afrika waliowahi kuongoza nchi zao kwenye nafasi ya urais。Hii ni C&P List of Female Africa Presidents – Updated July 2021 by AFJN Intern |...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Sitakwenda kwa undani sana kwenye sikukuu hii ya Halloween na asili yake, hilo unaweza kugoogle. Kawaida huko duniani, sikukuu hii husherehekewa tarehe 31/10 ya kila mwaka. Ninachoona ni kwamba...
5 Reactions
11 Replies
510 Views
Hata hajui anaongea nini nadhani. Kwani mwaka huu CCM haawana Ilani? Wangejikita kunadi Ilani
5 Reactions
24 Replies
970 Views
Wanabodi Leo tena naendelea na zile mada zangu za holistic approach kumtumia Mungu kwenye kufundisha mambo ya uchaguzi wetu wa mwaka huu ili twende kwenye uchaguzi mkuu ambao sio tuu ni uchaguzi...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Wanabodi Angalizo la Uchangiaji Naomba kuianza hii mada kwa angalizo la uchangiaji, JF ilipoanzishwa,it was ment to be the home for great thinkers。 Simple mind discuss people Ordinary mind...
10 Reactions
121 Replies
5K Views
Huko Tarime wenzetu wapo mbele ya muda sana, Asubuhi ya leo bodaboda wamewasha moto baada ya kuchoka manyanyaso ya Polisi.
7 Reactions
15 Replies
856 Views
Wanabodi Naomba kuanza na Angalizo: Mada kama hizi ni mada za kiutu uzima, hakuna kutaja taja majina ya watu wowote humu!, na ukijiona una washwa washwa kutaka kutaja majina hapa, au kuuliza ni...
15 Reactions
73 Replies
3K Views
Wanabodi, Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo. Nilimsikiliza Rais Samia, ile hotuba yake ya kulihutubia Bunge, ile siku anazindua utawala wake wa Awamu ya Sita, na juzi Ijumaa nikamsikiliza...
6 Reactions
55 Replies
2K Views
Wanabodi Watch TBC live Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika...
7 Reactions
68 Replies
2K Views
Kafala system ni utamaduni wa washamini ambao unatumiwa na nchi za kiarabu kuajiri wafanyakazi hasa wa ndani. Hivyo machawa tusiwashangae ni makafala au mafala. Wanapewa pesa kusifia maboss wao...
1 Reactions
2 Replies
197 Views
Ushahidi ambao waliutegemea kuwa msingi wa kumtia hatiani Lissu umekataliwa na mahakama. Factum probandum. How can they prove then? Hata mashahidi waliofuafa walitegemea kukazia huu ushahidi...
15 Reactions
11 Replies
564 Views
Kuanzia wiki mbili hizi Kasi ya uvujaji wa nyaraka za serikali imekuwa kubwa sana ,tunadhani nini shida? Kinachoniogopesha zaidi ni huu uvujaji horela wa nyaraka zinazohusu mambo ya msingi...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Back
Top Bottom