Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka wananchi wa mkoa huo kujiepusha na vitendo vya kuandaa, kuhamasisha au kushiriki maandamano yasiyo halali, badala yake waendelee kudumisha...
TUKIRI TUMEKOSEA KISIASA; NA TUKUBALI TUNAHITAJI SULUHU ISIYO YA MAZOEA
“Mawazo hayapigwi rungu, mawazo yanashindwa na mawazo yaliyo bora zaidi”-Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Usuli
Katika...
Hii hali ya uwanja leo huku watu wanazidi kutekwa. Tundu Lissu yupo ndani watu wanacheza mchiriku. Mama iba hela mpaka unga uwe 10000 kilo.
Piga hela mpaka umeme wa 10000 upate unit 5. Piga hela...
Salaam!
Mlichukua pesa cash toka mkopo mliotukopea kwa ahadi kuwa mtaleta Treni na mabbehewa mapya, Cha ajabu,
Mkaleta treni na mabehewa Chakavu kinyume na Sheria za manunuzi zinazotaka sirikali...
WATIBELI HATUTAKI AMANI ISIYO NA HAKI. KWANI HIYO NDIO TAFSIRI YA DHULMA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Mtu yeyote, bila kujali nafasi yake. Anayejaribu kuzungumza kuhusu amani bila...
TAARIFA YA UTEKAJI
Chadema tumeendelea kufuatilia kwa karibu matukio mbalimbali ya utekaji wa watu yaliyotokea nchini ndani ya siku ishirini na tano kuanzia tarehe 01 hadi 25 Oktoba 2025. Katika...
Mkuu wa wilaya ya Mbarali mkoni Mbeya Brigedia Jenerali Maulid Surumbu amesema serikali na vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo wamejipanga kikamilifu kudhibiti viashiria vyovyote vya...
Wakuu,
Mwenye CV ya huyu baba naomba anipe. Ujumbe unahitajika sana kipindi hiki
======================================
Mhariri mwandamizi wa habari nchini Tanzania, Jackton Manyerere, ameibua...
Tume ya Utangazaji Zanzibar, katika utekelezaji wa kazi zake imebaini kuna vituo vya Utangazaji vya Maudhui ya Mtandaoni vinavyofanya kazi ya Utangazaji bila ya kuwa na leseni.
Kwa Mujibu wa...
KWA NINI SISI WAKOSOAJI WA SERIKALI TUNAONA SHIDA PALE TUKIKOSOLEWA?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Taifa letu lina matatizo mengi. Mojawapo ya matatizo hayo ni KUTOKUPENDA UKWELI. Hasa...
Tangu mwanzoni mwa wiki Hi kumekuwa na shida mitandaoni
1. Kutuma pesa
2. Kupokea msg za uthibitisho
3. Miamala kuchelewa kusoma
4. Msg za kawaida kuchelewa sana kufika
5. Internet kusumbua sana...
Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wanawake wa Kiislamu Tanzania (JUWAKITA), Mariam Mtambo, amesema wanawake katika jamii ni kundi kubwa ambalo lina nguvu ya kuamua au kutoamua juu ya ufanyikaji wa...
Miaka 20 iliyopita Rais mkapa alifungua mlango kwa waekezaji wa madini kule kanda ya ziwa ila kwa masikitiko makubwa mpaka leo kuna umaskini wa kutisha wakazi wa kule hawaoni faida ya madini na...
Jumuiya ya wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDA imetoa tamko zito kupinga vitendo vyautekaji. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Anangisye yeye amenukuliwa na Nipashe...
Ukisikia Vijana wa Kitanzania wanavyohamasishana,wanavyofundishana,wanavyopeana mbinu kwa ajili ya maandamano,kwa ajili ya kukabiliana na polisi waziwazi huwezi kuamini kama Tanzania yangu...
Wakuu,
Moto mkubwa umewaka eneo la Cool Breezy barabara ya mataa ya kupanda jirani na kituo cha Mafuta petrol Africa Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga na kuteketeza baadhi ya maduka leo majira...
Wakuu,
Propaganda za kishamba sana. Nchi ya Tanzania SIO THREAT kwa nchi nyingine yoyote duniani, so the idea kwamba kuna mtu anafadhili maandamano just for the sake ya amani iharibike its a...
Wakristo mna mbingu yenu nyie watu,
Umeakua mwendelezo Taifa likielekea kukombolewa, wakristo wamekuwa ni watu wa kuimba tenzi kila wanapopanda magari ya mwendokasi na tenzi hizo zinaendana na...
Poleni sanaaa ndugu zetu police, Mateso yote hayo kwa faida ya kikwete na mama Samuya
Heti wanajaribu kututisha kwa maslahi ya wanasiasa wawili watatu, kuandamana ni haki kikatiba kama atatokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.