Mgombea urais wa Chama cha ADA-TADEA, Georges Bussungu, ameahidi kuiimarisha Idara ya Usalama wa Taifa na Jeshi la Polisi kwa kununua ndege maalumu za doria katika kila mkoa endapo atachaguliwa...
Kutoka kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kimesema kuwa wamefika katika kutuo cha Polisi Sirari ambapo hapo jana Jeshi la Polisi ilisema kuwa Heche...
Ripoti ya Shirika la habari la DW inaeleza namna wimbi jipya la wasanii, wanamuziki, na watu maarufu pamoja machawa wamekuwa wakisifia serikali na viongozi kwa nyimbo, kelele na majigambo...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, uliopewa jinala “Teremsha Bunduki”, ikiwa ni siku chache tangu ulipotoka rasmi.
Taarifa ya BASATA...
Huyu Makonda anacheo gani hadi kwenda kukagua bandari? Mbona mwaka vituko ni vingi
Wakati sasa hivi alitakiwa kuwa kwenye jimbo analogombea ili aendelee kupiga kampeni zake lakini yeye kiguu na...
Katiba ya mwaka 1977 iliasisiwa na Nyerere kwenye ile katiba ambayo mpaka leo tunaitumia imempa Rais madaraka makubwa sana na kumfanya kama Mungu mtu
Rais wa Tanzania anaweza fanya almost jambo...
Mgombea wa uraisi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amesema awali katika Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa kunachangamoto ya umeme lakini kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, hadi...
Huyu mwandishi Uchwara ,aliyefeli Kidato Cha Nne , Kwa makusudi Kabisa, ameamua kutumia Kipande Cha Viideo Cha MTU anayeitwa Askofu Kahemele wa KANISA la Angilikana aliyeonekana kwenye video...
Jeshi la Polisi limesisitizwa kusimamia ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani, usalama na kuaminika katika jamii kwani wao ni wadau wakubwa katika...
Mimi sikatai kuna mambo watu wanaona si sawa hatuwezi kubisha, si wewe unavyoona na mimi ni nanvyoona na mimi nikiona mambo si sawa nitasema mambo hako sawa. Lakini hatua gani nachukua baada ya...
Siku 3 zilizopita tulisikia kwamba mtangazaji na mwandishi wa habari wa star tv ameshinda rufaa yake dhidi ya aliyekuwa mkurugenzi wa nyamagana Aron Karugumjuni lakini mpaka sasa kwenye mtandao wa...
Leo nimeona Magari Magari kweli kweli ya jeshi la Polisi ni magari imara sana kukabiliana na Uhalifu.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao...
Hii teka teka na chukua chukua isiyofuata taratibu na kisha hii ya hayuko huku hatujui alipo, haina afya kwa Taifa letu
Hili Taifa si la wachache, ni letu sote likiharibika hatuna lingine tena...
kuna mamilioni ya watu tanzagiza tangia wazaliwe hawajawahi kufungua bomba la maji, hapo wala sijaongelea switch ya umeme kuwasha taa.
let that sink in, karne ya 21 mtu hajui jinsi ya kufungua...
Mwananchi alikitolewa katika mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Oktoba 22, 2025, baada ya kudaiwa kuzungumza kwa sauti kubwa ndani ya mahakama wakati kesi ya uhaini inayomkabili...
Kesi inayomkabili Mhe. Lissu itaendelea leo Mahakama Kuu kanda ya DSM, Mawakili wa Serikali wataleta utetezi wao baada ya upande wa Mshtakiwa kupinga Vielelezo vilivyoletwa Mahakamani kama...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtambile Pemba kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Muhammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa katika Jimbo la Mtambile ni sherehe za ushindi za chama hicho...
Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema ikiwa wananchi watampa ridhaa ya kuwa rais serikali yake itarejesha reli ya kutoka Masasi (Mtwara) - Dar es Salaam ambayo ilisitisha...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Christian Makondaameendelea na kampeni zake za kumuombea kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia ambapo leo Oktoba 23...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.