Machawa wa Mama ni utamaduni wa 'Kafala System' ya waarabu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,750
Reaction score
15,437
Kafala system ni utamaduni wa washamini ambao unatumiwa na nchi za kiarabu kuajiri wafanyakazi hasa wa ndani. Hivyo machawa tusiwashangae ni makafala au mafala. Wanapewa pesa kusifia maboss wao maana wameshikilia kila sehemu ya maisha yao

Sisi tuendelee kupigania nchi tuwchane na makafala
 
Hii system ya Kafala Qatar aliiondoa wakati inakaribia ku host World Cup na Saudi Arabia wanaondoa wiki hii.
 
Ndio utamaduni huo anaotaka kuueneza Tanzania huyu Samia; bila hata ya aibu kabisa.
Siyo hivyo tu, hata tabia zake za kilaghai na udanganyifu ni za kurithi toka huko huko
Hii system ya Kafala Qatar aliiondoa wakati inakaribia ku host World Cup na Saudi Arabia wanaondoa wiki hii.
Sasa Samia na Kikwete wanaona itawafaa kuileta Tanzania
 
Back
Top Bottom