Aliyekuwa Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Ushindi wa Kiti cha Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji Jacobs Mwambegele mara baada ya...
Tanzania haina kiongozi Mkuu wa Nchi tena,
Ni kundi la watu wachache waliokimbilia Dodoma na kufungia mkoa mzima, wakaamua kuchagua Tarehe 29 kupora Madaraka ya Nchi ya wananchi.
Ni wazi shairi...
Ujumbe kwa Watumishi wa TCRA ambao ni Watanganyika.
Wazanzibari wanataka kuiteka Tanganyika na kututawala kwa nguvu.
Wamelazimisha Samia atangazwe kwa uchaguzi ambao haukufanyika ba matokeo...
Itoshe kusema mumeeleweka, wengi tumepigwa na butwaa, haikuwahi kutegemewa ipo siku mtafanya kitu kama hiki, yaani mumeliamsha na kukomaa nalo mbele kwa mbele, hapa nimewavulia kofia, sisi Wakenya...
Taarifa kutoka kwenye chanzo imara kabisa leo zimenifikia zikisema kuwa Tundu Lissu has rejected President Samia Suluhu Hassan’s offer ya kuundwa serikali ya mseto .
Jamaa anasema nipo kwenye...
ndugu zetu kote Tanzania ili kuepuka vifo zaidi, tusaidiane kuwaambia wasikae mbali na magari ya JWTZ yaliyoko barabarani, amani kwa sasa inapatikana barabarani kando ya magari JWTZ walioko...
CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi...
Yaani ndugu zangu nguvu aliyokuwa nayo Mama samia na Kikwete ni tofauti na tunavyofikiri,tukiishindwa kuikomboa hii inchi tunaenda kuwa kama Congo,hebu fikiri linaretwa jeshi kutoka inje ili kuja...
Kuna fununu zifuatazo kama picha hapo chini zinavyoonesha kuwa Ruto na Museveni wanataka kumrudisha Samia wagawane madaraka na Tundu Lisu. Nasema hivi Tundu Lisu asikubali huyu Mama hafai hata...
Samia kakimbia nchi. Yupo mpakani mwa Tanzania na Uganda.
Anang'ang'ania arudi ili aapishwe na kuendelea kuwa Rais. Anaua Watanzania kwa mercenaries wake aliowatoa Uganda kwa Mtoto wa Museveni...
Huyu Samia ni laana, eti anasubiri atangazwe, sasa akishatangazwa nini kitabadilika na ataongoza wakina nani?
Sisi tumemkataaa, sababu kuu za maandamano lazima zizingatiwe sio ombi ni lazima.
01 November 2025
SIKU YA 4 : MAANDAMANO
UJUMBE MUHIMU SANA KWA WATANZANIA WOTE
https://m.youtube.com/watch?v=P5euUGyx3LQ
WaTanzania mwenzenu nina ujumbe muhimu.
Kwanza nawapongeza GenZ na leo...
CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya...
Mods niacheni niteme nyongo dhidi ya huyu mtu….
Wewe Samia hufai kabisa na hizi siku tatu za machafuko ndo zimethibitisha hilo.
Kikatiba kwa sasa wewe ndiye kiongozi wa nchi lakini kiuhalisia...
Inaonekana Jacob Mkunda hamjui Kikwete wala Samuya. Kwa wanajeshi kuonekana na wananchi, kama ataingizwa choo ya kike, ajue atalipiza kwa vile mashetani anayocheza nayo hayana huruma wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.