Kwa yanayoendelea nchini, mauaji ya wazi kwa raia na vitendo vya utekaji bila Rais kukemea - ni kweli Magufuli alikufa kifo cha kawaida?
Yaani, inatafakarisha sana:
1) Aliyetutangazia kifo cha Hayati Magufuli ni SAMIA.
2) Aliyesema Magufuli alikufa kwa COVID (Hakukuwa na taarifa ya kina juu ya kifo baada ya kauli hii) ni SAMIA.
3) Anayetuulia ndugu zetu na watoto wetu bila chembe ya huruma ni SAMIA.
4) Lakini, aliyewarejesha waliokuwa wametajwa waziwazi na Hayati Magufuli kuwa ni wezi wa mali za umma na watu hatari (Mtandao, kina Lugumi, Kizigha, etc) ni SAMIA.
5) Aliyepeleka Waziri Mkuu Majaliwa, aliyekuwa ameshatangaza angegombea kuendelea na Ubunge kusitisha kugombea dakika za lala salama ni SAMIA.
Sina kumbukumbu ya SAMIA kukemea Rushwa waziwazi zaidi ya kumsikia akihamasisha watu kula kwa urefu wa kamba zao ila kwa tahadhari.
Sina kumbukumbu ya SAMIA kukemea kupotezwa kwa uhai wa watanzania alioahidi kuulinda (masuala ya utekaji) zaidi ya kauli ya kuwa “Kifo ni Kifo tu”.
Rais ni Mfariji Mkuu wa Taifa, lakini kwa SAMIA imekuwa tofauti. Amekuwa mtu wa kututishia wananchi na zaidi kutukebehi kwa maneno ya maudhi sana.
Bado tunaamini tupo salama? Hili ni genge, inaelekea Samia anatumiwa na Mtandao kwa maslahi mapana.
Kinachoumiza zaidi ni taarifa za mtandao wa Wizi wa Mali za Umma uliosukwa kwenye Wizara zote na Mamlaka nyeti za Nchi ukiwa connected na Hazina ambao yeyote anayeonekana kutaka kuufichua huuawa haraka sana.
Tupo salama kama Taifa?
Tafakari, chukua hatua!