HII NIMEONA KWENYE MOJA YA COMMENT KWENYE FACEBOOK
Wakati mnawashawishi vijana wafanye fujo mliwaita jina la GENZ. Haya vijana wakavimba vichwa wakaiga ukichaa wawakenya bila kujua kwamba wanacho...
Kesi ya Tundu Lissu ya uhaini imesikilizwa leo Mahakamani Kuu, lakini hakuna uamuzi wa mwisho uliotangazwa hadi sasa. Upande wa mashtaka bado una shida ya kuleta mashahidi, hivyo kesi inaendelea...
Wakuu,
Mwanzo kabisa napenda ku-declear interest kwamba mimi natamani nchi yangu Tanzania ipate katiba mpya.
Mjadala wa katiba mpya ni mjadala mrefu sana unaohitaji umakini, utashi na ujuzi juu...
Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea?
========================================
Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a...
Ni vigumu kusema kwamba watu wa kawaida wangeweza kutabiri yaliyojitokeza October 29 na takribani siku nne zilizofuatia mbeleni lakini kuelekea siku hiyo tulitegemea wale wanaosifiwa sana na...
Katika historia ya chaguzi za Tanzania (zikiwemo chaguzi ambazo zilifanyika bila tension yoyote), hakuna uchaguzi ambao umewahi kuwa na voter turnout ya 87%.
Ilikuwaje huu uchaguzi, ambao...
Ni dhahili bila shaka, wale wote wanaompongeza rais Samia, au wanaofurahia ushindi wa Samia, Wasiacha kutembea na picha hizi vifuani mwao.
Furaha ipo wapi?
Je, Mtahudhuria mazishi au mtaacha...
Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.
Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na...
Hii inashangaza!
Kuna wapuuzi huko mtandaoni wameanza kazi ya kusambaza ujumbe, kwa Kiswahili na Kingereza (ili kuvvutia mataifa ya nje ambayo mpaka sasa wana picha kamili ya yote yaliyofanyika...
Tuseme ukweli maandamano ya chaguzi ni vijana wetu na wala siyo wakutoka nje ya nchi. Hatuwezi kuishi maisha au kubadilika kama tunaficha ukweli ambao upo wazi. Ukificha moto moshi utakuumbua...
Naomba qualification/CV zao.
Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO.
Sifa zingine:
Baba LEVO ni CHAWA
ZITTO ni mnafiki na opportunist.
Sijui hata nimaanishacho hapa. Ila fisi na nyama ni balaa bila kujali jinsia wala umri. Ni ujinga kiasi gani kumpa fisi nyama ukadhani ataiacha au kuficha ufisi wake? Baya zaidi ni pale fisi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Gabriel Makalla amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Arusha, wageni na Watalii wanaofika Mkoani Arusha kuwa hali ya ulinzi na usalama Mkoani Arusha ni shwari na...
Mkuu wa Idara ya Tathmini na Ufuatiliaji wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation ya Francis Forodhan wakiwa ni waangalizi wa ndani wa uchaguzi ameeleza namna Mchakato na uendeshwaji wa...
Tarehe 03 Novemba, 2025 – Uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino, Dodoma
1. Utangulizi wa Tukio
Tarehe 3 Novemba 2025 imebaki kuwa siku ya kihistoria katika safu ya uongozi wa Taifa la Tanzania. Siku...
Hizi sheria mbaya ni wewe ndiye utapata shida. Mikopo mibaya ndiyo wewe utalipa! Mikataba mibaya yote ni wewe ndiye utaongezewa kodi ya maji, umeme .
Haitakuwa ndugu wa Mwinyi, kikwete wala...
Yani ukitazama watanzania waliuwawa inatia huzuni mzito sana na majozi yasiyoelezeka kwa ndugu na hata Taifa
Huyu jamaa kwenye picha Alikuwa anaishi Kimara Korogwe , Askari alimfuata na kumpiga...
Wasanii wa Bongo Flavour wameanza kutoa pole kwa familia na watu wote waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki. Hata hivyo, ninaona ingekuwa vyema kama wasanii hawa wangetumia sauti zao...
Kama unaelekea Kigamboni au Posta Mkoani Dar es Salaam, Polisi waliovaa Kiraia na wengine Sare wanadai Vitambulisho. Wannapick rondomly. Wanasema kuna watu kutoka Nchi jirani wenye nia ovu kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.