Ukiwa kijana chawa wa serikali jitafakari vizuri!

Ukiwa kijana chawa wa serikali jitafakari vizuri!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,732
Reaction score
15,394
Hizi sheria mbaya ni wewe ndiye utapata shida. Mikopo mibaya ndiyo wewe utalipa! Mikataba mibaya yote ni wewe ndiye utaongezewa kodi ya maji, umeme .

Haitakuwa ndugu wa Mwinyi, kikwete wala Samia! Tena kodi zako ndizo zinawalisha sasa. Yaani tanzania sasa inakopa kwa nguvu kazi yako!

Cha ajabu nyie ndiyo machawa kwa kupewa kofia, baiskeli na ubwabwa
 
Heri uwe kijana marehemu kuliko kijana chawa aliye hai
 
Wanapewa mlungula wanatulia mkuu.
Uzarendo hakuna tena
Ndio tatizo,ili takiwa wataalamu wasaidie kuonyesha hapa na pale si sahihi ili akigoma nyinyi mchukue hatua nyingine.

*Kutoka hadharani kusema ubovu wa mikataba ile, kama kwenye dp wold.
*Kukataa kushiriki katika utiaji saini wa mikataba ile.
*Kuondoka kwenye nyadhifa ili kushinikiza kutosainiwa kwa mikataba ile.
"Kupiga kura ya kutokuwa na utendaji wa taasisi iliyo husika katika mikataba ile.
 
Kwani chawa kwa mtazamo wako ni nani hasa? Wasaidizi ndio chawa namba moja!
Chawa alio wazungumzia mtoa mada, si sawa na hawa unao lazimisha kuwasema wewe

Yeye kasemea wale tabaka la mwisho, wazee wa baiskeli, ubwabwa na kofia..

sio kina jaji mkuu, waziri au naibu waziri eboo!.

Ndio maana mimi nime tofautiana nae kwa kushauri baraza la kiongozi lijikite kuwa tofauti.

Kiranga jamaa yetu bado ana kurupuka hovyo.
 
Yeye mwenyewe chawa wa Polepole.
 
Sipendi ushoga. Hata hivyo, mashoga hudhalilisha maumbile na miili yao. Nikijielekeza kwa machawa, hudhalilisha ubinadamu wao na wengine. Hivi, binadamu anayegeuzwa au kujigeuza mdudu anashindwa kushika ukuttaa kweli ilmradi tonge liingie mdomoni? Hakuna kinachokera kukuta wengi wanaofanywa hivyo ni wale wanaopaswa kuwa washauri wa vijana. Ama kweli wakati mwingine mtu mzima hovyo.
 
Back
Top Bottom