Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna watu unawambia tetea Demokrasia au katiba mpya, Aanajibu Siasa hazimhusu. Eti "NISHINDWE KWENDA KUTAFUTA HELA NIPOTEZE MUDA KWE NYE SIASA?. Sasa siasa ilicchemka kidogo hakuna alliyetoka...
8 Reactions
8 Replies
328 Views
Huyu rais wa Zambia aliyeingia madarakani kama mwanademokrasia wa mfano kwa nini sasa hivi amebadilika sana na kuwa mtu asiyejali tena demokrasia wala haki?! Kuna wakati alikataa hata kwenda...
2 Reactions
10 Replies
457 Views
Tuendelee Kuishi !!. Chalamila Chalamila Chalamila, Nimekuita Mara Tatu. Sio lazima uongee ili Uonekane, baadhi ya wakati ruhusu akili na Mungu azungumze Ndani yako. Shauri yako, endelea...
21 Reactions
37 Replies
2K Views
Thread hii ni kwa ajili ya kuwatambua wabunge wateule kwa kila jimbo kufuatia uchaguzi wa 2025. Tuma jina la Mbunge mteule wa jimbo lako hapa
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Matokeo ya Uraisi wameyapika na mbaya sana hesabu hawajui. Soon wanaenda kuumbuka, na sisemi wapi watashikwa/ kitawalamba na upishi wao wa kitoto. Hesabu ni sayansi
8 Reactions
7 Replies
529 Views
Mmeua Vijana wasio na hatia, mmeua mamia ya Vijana waliokatishwa tamaa na utawala wa CCM. Maiti zao mmezitupa, Ombi langu, mturuhusu basi tukawazike, hili msitunyime. Moyo wangu ni mzito sana sana
6 Reactions
5 Replies
337 Views
Katika historia ya mataifa, kuna nyakati ambazo taifa hufika kwenye makutano ya maamuzi ya maadili na dhamira. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania umeacha doa lisilofutika kirahisi doa la...
3 Reactions
4 Replies
248 Views
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ukonga kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Bakari Shingo, amevamiwa na kundi la watu vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), tukio lililotokea katika...
2 Reactions
2 Replies
311 Views
Taarifa zinasema , watu zaidi ya 700 wamekwisha kupoteza maisha..Jeshi Gani linaruhusu mipaka yake inavamiwa, Askari wa kigeni wanaingia na kuua raia wanaotekeleza wajibu wao wa kikatiba..! Kama...
7 Reactions
4 Replies
406 Views
Kuna tetesi kwamba waliokufa Ni 3500 na majeruhi Ni 15000. Hivyo tuchukue hatua zifuatazo 1: Hakuna kupanda gari ya fisadi 2: Hakuna kujaza mafuta kwenye Kituo Cha mafuta Cha fisadi. 3:Hakuna...
9 Reactions
36 Replies
954 Views
TRANSITIONAL GOVERNANCE IN TANZANIA, FOLLOWING THE 2025 ELECTIONS WRITTEN BY Nicolas Jovin Clinton Gabone I do not claim the Authority to act, rather, these are my Personal views as a Tanzanian...
0 Reactions
1 Replies
453 Views
Damu za watanzania wenzetu zimemwagika, Mpaka muda huu tunazungumza hatujui Polepole yu wapi, Mpaka muda huu hatujui waliohusika na mauaji na utekaji wa mamia ya watanzania wenzetu wamefikishwa...
2 Reactions
4 Replies
189 Views
These are the Presidents who attended the swearing in of president Suluhu Hassan of Tanzania 🇹🇿 and Africa must put them on notice! They are the Presidents of: Zambia 🇿🇲 Somalia 🇸🇴 Burundi 🇧🇮...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Gen-Z & Millennials ambao tumewapoteza tukiwa kwenye mapambano ya kupigania Taifa letu. Nyinyi ni Mashujaa wetu, nyinyi ni fahari yetu mmepigana vita kwa machozi, jasho na damu. Tanganyika...
11 Reactions
15 Replies
556 Views
Ajabu mno, hataki wapiga kura mil.31 wampongeze, haijawahi kutokea. HAKIKA VISHINDO VYA WAKOMA VILIWAKIMBIZA WASHAMI😂😂
14 Reactions
30 Replies
1K Views
Unajua huwezi kuiba uchaguzi halafu watanzania wasijue Kwa sababu wanaosimamia uchaguzi ni hao hao watanzania. Nimeshangazwa na kiwango Cha wizi wa uchaguzi alichokifanya Samia na wahuni wenzake...
6 Reactions
15 Replies
546 Views
Kaka wa Polepole kadai kwamba Polepole ni Mzima ila anaumwa. Kwangu Mimi kusikia Polepole ni mzima hata kama anaumwa ni faraja kubwa. Uchaguzi umeisha. Namuomba Samia Amuachie huru. Baddo...
2 Reactions
6 Replies
472 Views
Mimi sio mtu wa siasa sana, wala sio mtu kanisa sana. Nimeona wachungaji wengi wakinena kuombea nchi hadi kanisa katoliki wamefunga novena kuombea haki na amani na kwa kweli nilikua naona maigizo...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Tuombe mahojiano kati ya Prof Lumumba na Prof Kabudi kuhusu demokrasia na katiba. wote ndiyo wabobeaji wa sheria wa EA ingawa mmoja ni chawa na mtoa macho mkubwa. Hii itasaidi tujue tunaenda wapi...
1 Reactions
3 Replies
179 Views
Tatizo kubwa la Samia ni Muongo hata kama ukweli upo wazi. Una tupa aibu kubwa. Yaani Rais wa nchi ambaye kwanza kapatikana kwa kura za mezani za uongo halafu kujidanganya vitu ambavyo viko wazi...
8 Reactions
5 Replies
319 Views
Back
Top Bottom