Ni muda tu kesi mahakama za kimataifa zinakuja wajiandae

Ni muda tu kesi mahakama za kimataifa zinakuja wajiandae

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,750
Reaction score
15,442
Kuanzia Raisi Samia, IGP, na wakuu wa polisi wa mikoa wajiandae kwa kesi kubwa itakayo kuja huku mahakama ya kimataifa ya Netherlands ni muda tu sasa lakini ushahidi upo wa kutosha
 
Pamoja na Asha-Rose Migiro na top brass ya CCM, Mwenyekiti wa INEC, Jacobs Mwambengele na Mkurugenzi wake Ramadhani Kailima.
 
Umekwenda mbali waombwe walindwe na jeshi sasa.
 
Kuanzia Raisi Samia, IGP, na wakuu wa polisi wa mikoa wajiandae kwa kesi kubwa itakayo kuja huku mahakama ya kimataifa ya Netherlands ni muda tu sasa lakini ushahidi upo wa kutosha
Wafungwe tu hao mashetani. Wamejipa madaraka ya Mungu!
 
Walihisi kwamba watachomoka kijinga wapumbavu hawa....
 
Back
Top Bottom