Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Featured
Mmoja wa watetezi wakubwa wa demokrasia barani Afrika na bilionea, Dkt. Mo Ibrahim, amekosoa vikali jinsi uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania ulivyofanyika, akisema kuwa ni “kitendo kisichofaa na...
32 Reactions
42 Replies
3K Views
Baada ya Mauaji ya Oct 29-31, 2025 CCM na serikali yake wametuma Vijana mitandaoni na viongozi wengine wanatoa matamko kuonyesha kuwa wao wameumizwa zaidi na kuharibiwa Mali za serikali na bàadhi...
2 Reactions
1 Replies
161 Views
Mkiwa na viongozi wasio na maono haya ndio madhara yake, mnapo kuwa kwenye vikao vya chama mnapitisha mambo huwa hamuwazi nje ya kikao hicho , na manapo kuwa mnapitisha sheria za hovyo pale...
2 Reactions
2 Replies
198 Views
Muungano wa Shirika la Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, wamelaani vitendo vya mauaji na ukandamizaji wa raia wasio na hatia vilivyoshuhudiwa...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Kikwete alishawai kuwa raisi sizani kama anahusika na mauwaji haya bali at as kuwa katika mshangao mkubwa vile nchi inavyoenda. Wasanii nao walikuwa ni mama mama na wanashangaa yanayoendelea huyu...
6 Reactions
11 Replies
589 Views
Kwenye Page yake ya Instagram, aliyekuwa Spika wa Tanzania bunge la 12, Kapost Picha yake akiambatanisha na wimbo wa Lucky Dube wa Jah save Us, Kipande kinachosema tafsiri isiyo rasmi kwamba...
20 Reactions
109 Replies
5K Views
Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwenye Documentary hii iliyorushwa na Al Jazeera kuhusu siku 36 za mwisho ya utawala wa aliyekuwa Rais wa Bangladesh dikteta Bi. Sheikh Hasina Mimi...
13 Reactions
17 Replies
1K Views
Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na...
11 Reactions
99 Replies
4K Views
Hi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope . NAJIULIZA YAFUATAYO? 1. Maria Sarungi...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
GT Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo. Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa...
18 Reactions
72 Replies
3K Views
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam muda huu, leo (Ijumaa, Novemba 07.2025) washtakiwa wengine 95 wamefikishwa Mahakamani hapo na kusomewa mashtaka mawili ya uhaini Shtaka la...
4 Reactions
14 Replies
622 Views
Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi. Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI. Ajabu Sheikh...
25 Reactions
59 Replies
2K Views
Kuna mchezo mmoja nimeuona umechezwa Kimkakati na Kiustadi sana ila Wenye Akili tumeshaushtukia Kitambo.
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Amani Golugwa, Boniface Jacob na Godbless Lema wakamatwa wakihusishwa na uchochezi wa maandamano ya Oktoba 29 Baada maandamano kufanyika Oktoba 29, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa likisema...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
1. Tulia Ackson nyumba zake mbili Mbeya zimepigwa moto 2. Tulia Ackson - Mabasi yake ya Achimwene yamepigwa moto 3. Idd Azan Zungu - Nyumba yake imechomwa moto 4. Kikwete na Ridhiwani - Vituo...
31 Reactions
17 Replies
2K Views
Heshima kwa mpambambanaji huyu wa taifa, roho yake ipumzike kwa amani
7 Reactions
19 Replies
797 Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amefafanua namna ahadi yake ya kumleta Arnold Schwarzenegger jijini Arusha itakavyotimia na Arusha kunufaika. Soma: Makonda: Nikishinda Ubunge...
1 Reactions
6 Replies
383 Views
Habari ndugu zangu watanzania. Nina shida sana na majina ya watu hawa
2 Reactions
12 Replies
887 Views
Friends and Our Enemies... La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa.. Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa... Lilikuwa ni suala...
-8 Reactions
79 Replies
2K Views
Back
Top Bottom