PostGE2025 Uzuri wa Gen Z hawana ujinga wa Udini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
38,844
Reaction score
90,300
Tuko salama!

Yaani katika vitu ambavyo Gen Z wapi smart zaidi ya sisi kaka zao na baba zao ni ujinga wa Udini wala uchama. Hiyo ni moja ya tofauti kuu tuliyonayo na wao.

Gen z wao huwezi mletea hadithi za kizamani au kufikirika atabaki kukudharau tuu.

Gen Z hawaamini kwenye kumuachia Mungu.
Gen z hawaamini kwamba kuna laana sijui za wazazi.
Gen Z hawana mambo ya sijui kiongozi wa kidini sijui sheikhe au mchungaji

Gen Z kama hujiheshimu wanaruka na wewe.

Gen Z wanachojali ufanye matendo mazuri watakukubali hata kama wao hawana maadili.

Gen Z wanaunganishwa na ubinadamu zaidi kuliko Udini, ukabila, utaifa, uchama.

So huwezi ukaleta ushamba wako wa dini au ukabila kwa hiki kizazi kikakushangaa sana.

Ijumaa kareem
 
Screenshot_20251103-215308~2.png
 
Jidanganye hivyo hivyo wengi walikwia tambua kama hii vita ninya kidini
 
Tuko salama!

Yaani katika vitu ambavyo Gen Z wapi smart zaidi ya sisi kaka zao na baba zao ni ujinga wa Udini wala uchama. Hiyo ni moja ya tofauti kuu tuliyonayo na wao.

Gen z wao huwezi mletea hadithi za kizamani au kufikirika atabaki kukudharau tuu.

Gen Z hawaamini kwenye kumuachia Mungu.
Gen z hawaamini kwamba kuna laana sijui za wazazi.
Gen Z hawana mambo ya sijui kiongozi wa kidini sijui sheikhe au mchungaji

Gen Z kama hujiheshimu wanaruka na wewe.

Gen Z wanachojali ufanye matendo mazuri watakukubali hata kama wao hawana maadili.

Gen Z wanaunganishwa na ubinadamu zaidi kuliko Udini, ukabila, utaifa, uchama.

So huwezi ukaleta ushamba wako wa dini au ukabila kwa hiki kizazi kikakushangaa sana.

Ijumaa kareem
Gen Z hawagopi bunduki

Gen Z awamu hii police watakavyokuja ndivyo watakavyopokelewa.

Gen Z Hawana udungu na chawa ukizingua anakugeuka

Gen Z ni kizazi kilichojariwa ni Mungu kuona mbali na kujua kuwa kifo kipo tu kwa mtoto,kijana,mtu mzima na mzee wote hufa hivyo hakuna jipya.

Gen z wengi wao ni wasomi japo wamefika kidato cha nne na kuendelea

Gen z karibia wote wanatumia smart phone na mitandao ya kijamii kama TikTok,facebook,instagram nk hadi wale vijijini kila kitu wanajua kuhusu dunia hii inavyoenda!

Gen z wamebarikiwa kuwa na akili na upeo bila kusahau ujasiri

Gen z ni kiboko ya watawala mafedhuri

Kwa machache haya na hayo ya juu tuishi humo

MWISHO TUTAUNGANA NA GEN Z IWEJUA IWE MVUA TUTAKUWA WOTE
 
Wameona UOGA hauuziki tena, wamekuja na biashara ya UDINI. Na hii itadoda pia, HATUNUNUI.

Saivi siwasikii hata wakiongelea kufanya mazoezi ya kijeshi mtaani wala matamko ya Nywinywinywi.
 
Kabisa, jana ITV malumbano ya hoja nilimsikia yule shehe ubwabwa akiwalaumu vijana na wazazi wao eti malezi sijui kwenda kanisani na mskitini.

Yule bwana sijui kama anafikiria sawasawa, afu ndo mwenyekiti wa usuruhihishi eti na maridhiano.
 
Back
Top Bottom