Mpaka Sasa hamna Mahali Ambapo RAIS SAMIA kachukua Fomu, na kuijaza, na kuirejesha , yaaan Uhuni MTUPU
Mtu kaamua kujipitisha Mwenyewe kavunja Katiba ya CCM ,kavunja Katiba ya Nchi
Licha ya...
Kwa Mara nyingine tena naandika nikilitaka Taifa, Lijiulizwe maswali haya Kisha liamue Je Rais Samia agombee hata kama Kavunja Katiba za Chama na Taifa, au Azuiliwe Kugombea Kwa namna yoyote...
Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauwaji wa October 29 au waliokufa ni punda.
Anasimama mtu anasema heti hajihusishi na siasa mpaka watu wanauliwa alafu wao na wanasiasa mafisadi wamekaa...
Samia huna aibu ndio maana unaendelea kusema uongo kuwa watanzania tumekupa ridhaa, watanzania gani muongo mkubwa wewe, sisi hatukutaki, hakukuwa na uchaguzi, hakuna kura zilipigwa za kukuweka...
Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko...
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
Kumbe mlijua kuna vijana wanafuata mkumbo kwanini muwapige risasi za kichwa na marungu? Ndio mnavyolea watoto wenu huko au watoto wa masikini ndio wakujifunzia kulenga shabaha?
Nafikiri huu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania pamoja na Wakuu wa Taasisi za Kimataifa mara baada...
Dar es Salaam, jiji la kibiashara la Tanzania, linakabiliwa na changamoto nyingi za mijini kama vile msongamano wa magari, mafuriko, na miundombinu duni. Ingawa serikali huonekana kuchukua hatua...
Behewa namba 14 kwenye treni ya Mwendokasi halina hewa.
Kwa mujibu wa mhudumu, tangu asubuhi, leo Oktoba 3, 2025 behewa hili limepata hitilafu na halijatengenezwa hadi sasa na hawajui...
Baada ya Mpango na Majaliwa kuwekwa pembeni. Sasa NI zamu ya Spika Mkuu kuteuliwa Wizara ya Katiba huku Hawa Namanga akitajwa kama Spika Mpya 2025-2030.
14 November 2025
Utamaduni huu wa viongozi wa CCM na serikali yao waliopo ngazi za juu katika dola kusema uongo ni hatari kwa mustakhabali wa ustawi wa nchi...
"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu...
"Uchaguzi Serikali Mitaa 2024 ulitarajiwa kuponya majeraha ya Kidemokrasia yaliyotokana na Uchaguzi wa 2019 na 2020 lakini umezidisha maumivu na kuwakatisha tamaa wananchi na wadau wote wa...
Salut sana kwenu waungwana wa jukwaa hili la JF.
Tulishakubaliana kwamba waliofanya vurugu ni vijana kutoka nchi jirani vile vile zile video ni zakutengenezwa.
Kuunda tume kuchunguza yaliyotokea...
Ndugu yako wa karibu anapata msiba Oct 29 kafiwa Mtoto.
Unamuona siku zote na unapita karibu na kwake. Nov. 3 unafanya sherehe kwako na unamsimanga kwamba kazidi kufiwa.
Ghafla Nov. 14 baada ya...
Tume zimekuwepo.
Maridhiano yamekuwepo.
Ahadi zimekuwepo.
Zote hazijaleta muafaka kwasababu lengo.soho kutatua matatizo, bali ni kupoza joto.
Haya majitu ni SHETANI wa DAMU.
Tanzania kwasasaa...
Nimemsikiliza kwa umakini Rais Samia kuhusu msamaha alioutangaza wa baadhi ya Vijana waliokamatwa wakati wa maandamano kipindi cha Uchaguzi Mwaka huu (2025), ni wazi kuwa inawezekana ni jambo zuri...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande amesema baadhi ya raia waliouawa katika maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata hawakuwa na silaha yoyote badala...
Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika.
Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.